OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
hatuna budi kumjua mshindani wetu.Kweli CCM chama Tawala Pro CDM , UKAWA , wanafuatilia pia ?
CCM OYEE!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatuna budi kumjua mshindani wetu.Kweli CCM chama Tawala Pro CDM , UKAWA , wanafuatilia pia ?
CCM OYEE!!
Labda Wa Chooni Kwako!
Huyu Nape ana maneno na mbwembwe sana yaani anavyobwabwaja na kuarusha roho watia nia. Huyu anafaa sana kuwa kama yule msemaji wa Iraq kipindi cha vita na USA na partners wake.
Wajumbe wa CC wanatoka mule wakijua kabisa kuwa fulani ma fulani ndo wamepita. Hadi sasa Lowasa lazima ajue kama kapita au lah, na lazima CC imueleze kuwa tumekuacha kwa sababu hii, hii na hiii...
Tungekuwa tushajua tayari maana angewaambia watu wake wa karibu
''Lowasa ni kama Mtume Mohamad''By Madabida.
JINA la Edward Lowassa, mmoja wa wasaka urais kwa udi na uvumba, limeenguliwa katika hatua za awali za kinyanganyiro hicho. Anaandika Saed Kubenea (endelea).Wakuu habari,
Ntakua nawaletea Update ya kile kinachojiri kwenye Vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma. Ntahakikisha kila kitu naweka hapa.
Karibuni sana.
===================
Updates;
1. Update;
Sasa mchakato unaanza rasmi, Wajumbe kamati ya Maadili wanaingia Ukumbini, CC itafuata, haijajulikana kama na NEC itafanyika leo, itategemea na muda utakao tumika na vikao viwili hivyo.
2.Update
Rais Kikwete ameingia Ukumbini muda huu
3. Update
Kikao cha Usalama na maadili kinaendelea. Hiki hata kikiisha hakina briefing. kama kawaida, Ulinzi umeimarishwa na state
4.Update
Wakuu Kuweka Updates sio lahisi kama mnavyodhani sababu ulinzi ni mkali na hakuna aliyeruhusiwa kuingia na simu. Kumbuka hii ni kamati ya maadili, hivyo kuweni wavumilivu. Kikao kinaendelea.
5.Update 14:46
Kamati ya maadili imemaliza kazi yake, sasa ni zamu ya CC kuingia, lakini Rais Kikwete katoka, Kikao kitaanza akirudi.
6. Update 16:00
Wajumbe wa CC ndo wameingia sasa hivi, watapewa majina matano na kamati ya maadili ya Wagombea urais.
7.Update 16:55
Team inayomuunga mkono Edward Lowassa zaidi ya watu 200, wamekutana mchana huu Katika Ukumbi wa St. Gasper, kuweka msimamo iwapo huyo wanayemtaka hatakuwemo kwenye Top 5 ya Wagombea waliopitishwa na kamati ya maadili.
8.Update 18:50
CC imemaliza Kikao chake, Nape amesema majina matano yaliyopendekezwa yatatolewa baada ya Kufuturu.
-------
Futari ya leo chungu sana
Ungeweza kabisa kunijibu kuwa umejuaje kuliko kuninukuu na kunambia nipitie post za nyuma!
Nyuma wapi? Mada ina kurasa 37 and counting halafu unanambia nirudi nyuma?
Good grief!
Yamani hawa Kiongozi wa ccm ndio tuseme hawataki kitowa matokeo mama nini?
Tumetumiwa taarifa na chanzo cha kuaminika, ni part ya vikao vinavyoendelea