Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Yaani kila jina linajadiliwa kwa masaa lisaa lizima nini? Mpaka sasa kimya tuuu!!
 
Kuna dalili njema kwa Lowassa kupita katika hatua ta 5 bora na akipenya tu.....MJUE tumetusua hadi kiti cha ukuu tunachukua kabisa
 
Naimani kikao kishaisha ila wanajifikilia jinsi yakutoa jibu kwa walengwa je ? ...patamu hapo
 
Yaani kila kona ni huyu mh. Utafikiri wengine hawakurudisha form. Au akipitishwa hakutakuwa na kupiga kura sababu either keshashinda au keshashindwa. Napata tabu kidogo hapa.
 
hakuna kukata tamaa wala kulala.chamsingi lowasa lazima awepo mtaona hakuna mjanja au mtu mwenye ujasiri huo. ukweli ndiyo huo.
 
Wewe vipi?? Ikiwa mechi ya Chalsea Vs. Liverpool inachezwa leo wewe unaangalia ya Man U Vs. Arsenal itakayochezwa mwezi kesho.....!!!??

LOWASSA ndiye, leo mmekalia msumari wa moto, Hakuna cha UKAWA wala CHADEMA, wote tunasubiri mgombea wa CCM chama Dume!
 
Hi wanajanvi.
Nafikiri wewe na mimi wote tunatambua kuwa waliorudisha form za kuomba kupeperusha bendera ya kijani ni wengi, 38 kwa idadi na wote wako mji mkuu Dodoma wakisubiri kwa hamu watangazwe rasmi kupeperusha bendera.
Wasiwasi wangu ni kwanini 99% wanamsikilizia Bw. Lowassa kuwa either jina lake limepitishwa au la?
Kuna nini juu ya hili jina? Ni safi sanaaa au chafu sanaaa?

Waulize redet na data zao za uongo
 
Lowasa atakufa kwa presha kabla chujio halijamaliza kazi yake.....
 
Back
Top Bottom