Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Uliyoyafanya ni mengi.

Tukianzia na St Thomas, tukaja kwenye uteuzi wa jk, na kwenye kampeni za Lowasa!. Bila shaka dunia ya mafisadi itakukumbuka. Mafisadi walikupenda lakini Mungu ameipenda zaidi Tanzania.

Ulitoka Msumbiji, na msumbiji utarudi.

Mzee upumzike kwa utulivu.
 
Jamaa alijiaminisha kuwa ni chaguo sahihi nyodo zake na kujiamini kulizidi
Ukweli mzee huyu Katiba imemponza, walipompa maelekezo yakufanya akafata hakujua wanamng'ong'a kiko wapi mzee wa viwango?
Kwangu mimi wewe ulikuwa hufai Hata kuchukua fomu tu kalime tumbaku sasa,

Ila usisahau unatembea na laana ya Watanzania kwa kupindisha mapendekezo ya Katiba tuliokuwa tunaitaka
Tatizo jamaa alidhani nguvu ya kuutafuta urais ni sawa Na nguvu ya kumuua simba pale anaposhambulia mifugo
 
Dadavua kidogo mkuu. Amewa alarm aliposema akikatwa patachimbika? Alivyofanya kampeni kwemye media wazi wazi kabla ya muda? Au ikoje kiongozi?

Tulieni Yeye Ndiye Kawezesha Yote Mnayaona Kwenye 5 Bora ... Kama unaelewa nasema nini!!!
 
Habari, samahani mimi nipo nje Mada, nilikuwa nauliza hivi Upinzani ikishika dola, je madeni ya nchi inayodaiwa watayalipa au automatically yanafutwa nchi inakuwa haina deni kwani wanaotawala sio wa siku zote?? Nawasilisha.
 
huyo jamaa na mtu wake wamefika wapi, ameingia tano bora? Hilo ni kundi la mafisadi, turejea Ubongo terminal. Tulitegemea kwa umri wake awe mshauri leo tunashudia kupapambana kumsaidia fisadi mwenzake.
 
watu wa lowasa wamekamatwa na mabegi ya pesa..walitaka kwenda kuwahonga wajumbe wa nec ili kuhakikisha membe hashindi..ni mda mfupi uliopita

attachment.php
 
Habari, samahani mimi nipo nje Mada, nilikuwa nauliza hivi Upinzani ikishika dola, je madeni ya nchi inayodaiwa watayalipa au automatically yanafutwa nchi inakuwa haina deni kwani wanaotawala sio wa siku zote?? Nawasilisha.

hahahhahahahahha

umenichekesha sana

Madeni ni ya nchi

Chama sio nchi
 
watu wa lowasa wamekamatwa na mabegi ya pesa..walitaka kwenda kuwahonga wajumbe wa nec ili kuhakikisha membe hashindi..ni mda mfupi uliopita

attachment.php

hahahahahahahhha

Lowasa anakufa mwaka huu

Aende chama cha zito
 
Back
Top Bottom