Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Hahaaa Team Lowasa imeshawatosa mashabiki wote??? Daaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo jamaa alidhani nguvu ya kuutafuta urais ni sawa Na nguvu ya kumuua simba pale anaposhambulia mifugoJamaa alijiaminisha kuwa ni chaguo sahihi nyodo zake na kujiamini kulizidi
Ukweli mzee huyu Katiba imemponza, walipompa maelekezo yakufanya akafata hakujua wanamng'ong'a kiko wapi mzee wa viwango?
Kwangu mimi wewe ulikuwa hufai Hata kuchukua fomu tu kalime tumbaku sasa,
Ila usisahau unatembea na laana ya Watanzania kwa kupindisha mapendekezo ya Katiba tuliokuwa tunaitaka
Uislam unakujaje
Tulieni Yeye Ndiye Kawezesha Yote Mnayaona Kwenye 5 Bora ... Kama unaelewa nasema nini!!!
dini muhimu wewe, hatuwezi kubali ongozwa na mwislam tena
Hahaaa Team Lowasa imeshawatosa mashabiki wote??? Daaah
Hatuwezi kukubali Membe apite....hana vigezo...watanzania (chama tawala na upinzani) tunamtaka Magufuli
Asha sio Muhaya...Ni mtu wa kusini
Ni muislam
Hahaaa Team Lowasa imeshawatosa mashabiki wote??? Daaah
Magufuluna na Amina wamepigwa chini
Hivi ugweno ni kaskazini au kusini mwa Tanzania??
Habari, samahani mimi nipo nje Mada, nilikuwa nauliza hivi Upinzani ikishika dola, je madeni ya nchi inayodaiwa watayalipa au automatically yanafutwa nchi inakuwa haina deni kwani wanaotawala sio wa siku zote?? Nawasilisha.
watu wa lowasa wamekamatwa na mabegi ya pesa..walitaka kwenda kuwahonga wajumbe wa nec ili kuhakikisha membe hashindi..ni mda mfupi uliopita
![]()