Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha...anaesimamia hizo kura ni nani?
Hivi ninyi ni kina nani mnapambana na Rais wa Jamhuri?
Rostam arudi kwao Irani ataivuruga hii nchi.![]()
huyo ndo aliyetumwa na lowasa....oneni fisadi alivyo na hila
Ni mtu wa Kusini wapi? Kazaliwa Ruvuma lakini ni Mpare, acha uongo.
Hatuhitaji rais muislam kwa sasa.
Duuuh haya mama!
kweli anawadamini weng. Maana kuna sehem aliend wanachama haini 30,000 yeye aakusanya sahihi 50,000Kwa nini wamkate Lowasaa, ana wadhamini wengi, hakuna mtu ambaye ni msafi %100, wataumbuka
Rostam arudi kwao Irani ataivuruga hii nchi.
na hakuna rangi wataacha kuona leo.....hapo st.gaspar ni ngome ya lowasa ndo wamerundikana hapo....
Usiwe punguani wewe angalia maisha yako isichukie Uislam matatzo yako hayajaletwa na Uislam fanya kazi.Hatuhitaji rais muislam kwa sasa.
nilitamani niende upinzani ila naona bado hawajajua thamani yao kwa nchi hii. kila siku ni mvurugano tu. bora nibaki kwenye chama cha baba. with time CCM itabadilika tu. ile mizee iliyokaa mule utadhani yenyewe ndio inamiliki chama itaondoka mmoja mmoja
Usiwe punguani wewe angalia maisha yako isichukie Uislam matatzo yako hayajaletwa na Uislam fanya kazi.