Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

UKAWA hawataki mafisadi. Huyo ni wa ccm huko huko. Alkienda UKAWA anaanzia mahabusu kwa wizi wa mali za umma. Hatutaki mafisadii.
 
hahahahaha...anaesimamia hizo kura ni nani?

Hivi ninyi ni kina nani mnapambana na Rais wa Jamhuri?

na hakuna rangi wataacha kuona leo.....hapo st.gaspar ni ngome ya lowasa ndo wamerundikana hapo....
 
attachment.php

huyo ndo aliyetumwa na lowasa....oneni fisadi alivyo na hila
Rostam arudi kwao Irani ataivuruga hii nchi.
 
Ni mtu wa Kusini wapi? Kazaliwa Ruvuma lakini ni Mpare, acha uongo.

Mkuu.......Kuzaliwa kwa mtu na kukulia kwa mtu ndiko ku na derive asili yake

Hata wewe uko Arusha lakini sio asili yako Mohd
 
Kwqni waziri mkuu alitengua kauli yake. . . . .??!!

Eeeenh. . . .Hakuna jinsi nyingine
 
Duuuh haya mama!

nilitamani niende upinzani ila naona bado hawajajua thamani yao kwa nchi hii. kila siku ni mvurugano tu. bora nibaki kwenye chama cha baba. with time CCM itabadilika tu. ile mizee iliyokaa mule utadhani yenyewe ndio inamiliki chama itaondoka mmoja mmoja
 
na hakuna rangi wataacha kuona leo.....hapo st.gaspar ni ngome ya lowasa ndo wamerundikana hapo....

yaaani kwa akili zao wanadhani kikwete is Playing a blind game

Bingwa wa siasa Za Fitna CCM ni kikwete hakuna anayemfikia

Alafu ana organ na taasisi zote za state....eti ashindwe kum contain lowasa?

Cha msingi hawa jamaa wangeondoka tu warudi Monduli...Kikwete atawafanya kitu mbaya
 
nilitamani niende upinzani ila naona bado hawajajua thamani yao kwa nchi hii. kila siku ni mvurugano tu. bora nibaki kwenye chama cha baba. with time CCM itabadilika tu. ile mizee iliyokaa mule utadhani yenyewe ndio inamiliki chama itaondoka mmoja mmoja

wewe baki huko huko CCM mama....ungejua wewe ndio chachu ya mabadiliko ungeyapeleka huko lakini hujajitambua bado

Na bado haujajua thamani yako
 
Ha ha ha,si alisema akikatwa atafanya maamuzi magumu,mbona kimya mpaka sasa?
 
Lowassa baba tunakukubali sana! na tunajua wewe sio fisadi kama watu wanavyoaminishwa hapa! Binafsi sihitaji raisi ambaye ni maskini!

Raisi asiye na pesa za kutosha huwa ni msumbufu ! Atajitahidi hata bibi yake awe bilionea, na kujazana ikulu! hatutaki raisi asiye na pesa za kutosha ambaye atawafanya vitukuu wake kumiliki masemi nchi nzima na kuwa wauza unga China nakulindwa pale wanapokamatwa!

Lowassa unapesa za kutosha! tunaamini ulikua na mapenzi ya dhati kwenda ikulu! sio kuchuma pesa! wmekufanyia roho mbaya tu! Kubwa zaidi watanzania wengi wanakukubali!

Lowassa hujachelewa! tafuta sehem nyingine ya kupitia! Ingekua njema sana kama ukawa wangekupa nafasi hiyo!

Mimi sio mfuasi wa CCM, ila Lowassa namkubali! Lowasa sio fisadi! ila kwakua watanzania tumekariri kua mtu akipata utajiri mkubwa sana tunaanza kudhani kua atakua amefanya ufisadi! kama sio ufisadi watasema Freemasons.

Ukawa mkaribisheni Edo! huu ndo utakua mwisho wa CCM!
 
nilitamani niende upinzani ila naona bado hawajajua thamani yao kwa nchi hii. kila siku ni mvurugano tu. bora nibaki kwenye chama cha baba. with time CCM itabadilika tu. ile mizee iliyokaa mule utadhani yenyewe ndio inamiliki chama itaondoka mmoja mmoja

Upinzani bado ni wachanga kupewa nchi hii!
 
Naona CCM mwaka huu wanatafuta mwenyekiti wa chama, sio Rais wa nchi!
 
nilitamani niende upinzani ila naona bado hawajajua thamani yao kwa nchi hii. kila siku ni mvurugano tu. bora nibaki kwenye chama cha baba. with time CCM itabadilika tu. ile mizee iliyokaa mule utadhani yenyewe ndio inamiliki chama itaondoka mmoja mmoja

Wanawake na hasa wa ccm mnavyopenda vya bure na kubinul !!wa si rahisi kwenda upinzani ww maana hakuna hayo
 
Back
Top Bottom