Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nakumbuka alisema walikua wengi sana so Si rahisi kumuona na kuufahamu, Kumbuka wakati huo hawakua wanasiasa so hawakufahamiana. Acha Mambo hayo bhana babaangu nae alienda Uganda Mako alimwona?????

kwa askar kukumuona au kuskia mtoto Wa rais yko front line ni rahis sana bas yy Huyo angejib Kuwa yy anakumbuka either as eyewitness or here say kuhusu mako.MBNA alkaa kmya,yule kchwa white ni muongo muongo tu hata rafk yke akamgeuka
 
Wakati Chadema wanahangaika kuyavua magamba ya usaliti ndani ya chama chao Ccm wao waliendelea kuyakumbatia magamba yao na kuwaona Chadema ni watu wa ajabu sana kufukuza msaliti ndani ya chama kumbe chadema waliona mbali sana,,sasa leo gamba gumu ambalo walishindwa kulitoa kabisa wakaliacha hadi mwisho wa safari ndo leo hii linawasumbua...Ccm walichemsha sana kuacha gamba gumu hadi leo ilitakiwa kipindi kile cha kuvuana magamba wangeliondoa fasta leo hii wangekuwa wepesi sana, Chadema waliona mbali kuacha magamba magamba ndani ya chama yangewaletea usumbufu mkubwa badae kama huu wanao upata ccm..Hongereni Chadema mnajua kupembua pumba na mchele.
 
Amewarudisha kutoka wapi kaka,au mafichoni?kama ulikuwa na kadi mbili bakiza hiyo ya kijani tu na ujiandae kisaikolojia
Weee nchi hii si ya LOWASA wala MEMBE ni ya WATANZANIA. Lowasa awe gentleman kama Mh. Mwandosya akubali matokeo. Kulikuwa na wagombea 38 waliorudisha fomu na bado 33 hawajalalamika. Lowasa anataka kufanya nini na rushwa yake na Gwajima mzee wa poda na Kingunge.
Nchi hiko imara na Mh. Rais ameonyesha ukomavu wa hali ya juu na kwa tukio hili ameturejesha wengi CCM na tunamuunga mkono. Hatuwezi kuongozwa kwa mafuriko.
Yaone mateso haya tuliyo nayo ya dhuluma na ufisadi. Lazima ifike mwisho na Mungu atatusaidia. AMENI
 
mtazamo wangu na utabiri kutokea ni kuwapo kwa miungano wa vyama vipya kutoka ccm huenda team lowasa na baadh ya vigogo kuanzisha chama chao cha siasa
 
kwa ushauri wangu popote pale ulipo mh zitto kwabwe (act wazalendo) naomba umchukue huyu nguri wa siasa mh lowasa. hakika nakwambia chama chako kitakua sana. zingatia sana ushauri wangu maana huyu jamaa anawafuasi wengi. sina ziada!!
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Duuh kweli hawa viongozi hawana shida ya kutusaidia walalahoi. Kwanini wanatumia pesa nyingi hivyo?
 
Wasira amepita kwa kijanja bila kitambulisho na amesema hakuna maoni..
 
Familia ya Karume kuenziwa alafu ya baba wa Taifa ikadhalilishwa hivi huu nao ni uhuni na hatuukubali ..Amani awe rais alafu ikija kwa Makongoro mnaibua uchifu, why? why not to Amani Karume ..kwanini ubaguzi huu wa kihuni na fedhea hivi kwetu bara?
 
mtazamo wangu na utabiri kutokea ni kuwapo kwa miungano wa vyama vipya kutoka ccm huenda team lowasa na baadh ya vigogo kuanzisha chama chao cha siasa

WanaCCM wataanzisha chama gani dakika hizi,wawe wapole tu,na watakaojifanya wajuaji itakula kwao
 
The way he is playing his game I dont see the green party getting to october in one piece.

Though I believe it was in pieces since his nomination in 2005, but i dont see the pieces surviving the current storm

Piece or Peace? sio lazima uandike kiingereza jamani...
 
kwa askar kutokumuona au kuskia mtoto Wa rais yko front line ni rahis sana bas yy Huyo angejib Kuwa yy anakumbuka either as eyewitness or here say kuhusu mako.MBNA alkaa kmya,yule kchwa white ni muongo muongo tu GTA rafk yoke akamgeuka

Mako nae mwongo? mtoto wa rais kua front line kwenye fierce battle? Labda pakiwa Shwari 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom