Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIna internet yenye speed ya kutosha. Lakini hiyo link inagoma. Hata niki search kawaida siipati.
Hivi hao wanaoimba kuwa wana imani na lowassa, wanahisi kuwa uamuzi utabatilishwa!!
3 bado na kikao kimesitishwa kwa muda kuna shughuli nyingine inaendelea ukumbini itakapomalizika ntawa update msiwaze sana leo hadi kieleweke, ila UKAWA tayar wameshapata kiti cha urais coz hao 5 waliobaki hawana mashiko n wakusukuma 2 kama unapush mlev vile
Hamna ubaya mimi kuwaitwa Mohd ni jina zuri tu kwangu lakini usilete kejeli nimemuleza kiungwana tu.Hahaha,maalim wewe ndo moh'd?
dogo msamehe huyo raia,
Hivi hao wanaoimba kuwa wana imani na lowassa, wanahisi kuwa uamuzi utabatilishwa!!
Wala sijapanic nimekuuliza kiustaraabu kuna kipindi umenitukana nikakueleza kiustaraabu naona bado unaleta kejeli.hahahahahhaha....mkuu mbona unapanic?
Kosa ni nini hapo? nimekuuliza tu swali Ustaadh? nijibu tu ustaadh acha kupanic