Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hivi hao wanaoimba kuwa wana imani na lowassa, wanahisi kuwa uamuzi utabatilishwa!!
 
Usalama wa taifa wameingilia mchakato mbona tv zote walijipanga kwa live na walishaanza ghafla wakakata matangazo?
Nadhani kuna uozo mwingi unaendelea wameamua kuuficha
 
Azam TV tulikuwa live naona kama Wana CCM wanataka kufanya mapindizu aliyofanyiwa Mapindizu aliyofanyiwa Thabo Mbeki
 
3 bado na kikao kimesitishwa kwa muda kuna shughuli nyingine inaendelea ukumbini itakapomalizika ntawa update msiwaze sana leo hadi kieleweke, ila UKAWA tayar wameshapata kiti cha urais coz hao 5 waliobaki hawana mashiko n wakusukuma 2 kama unapush mlev vile

Tunasubiri mkuu
 
lowassa ni nani amtishie Raisi wa nchi na kutuharibia chama?? hao wafanya vurugu ni wale wamenunuliwa. polisi ifanye kazi yake sweka wote ndani wakanyee debe hadi uchaguzi uishe hapo october. wapeleke njaa zao huko
 
Hali ni tete Idodomya ....
macho na masikio yote huko
Membe hongera kwa kupeperusha bendera ya magamba.
 
Nyomi ya watu imejaa Nyerere square wakiimba "Tuna imani na Loawsa..."
Yaani kama kuna maadamano ya UKAWA .
 
Lililo dhahiri na ambalo naona wengi wetu hatulijui au hatutaki kulijua, ni kwamba Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM anajulikana kwa wenye chama tangu mapema. Kinachofanyika ni kukamilisha taratibu tuu.

Wajumbe watabakia kupiga kura na hata wote wakiamua kumkataa mmoja wao, aliekataliwa anaweza kutangazwa mshindi. Kwani nani anaesaidia kuhesabu kura? Kama kuna watia nia ambao walikuwa wanataka kuona demokrasia ya kweli kwenye mchakato mzima, Wangeomba chama chao kibadili kanuni, ili chama cha upinzani kisaidie kuhesabu kura na kutoa matokeo!

"Kwa sasa kazi iliyobakia ni kukamilisha taratibu tu"

Kidumu chama chetu
 
hahahahahhaha....mkuu mbona unapanic?

Kosa ni nini hapo? nimekuuliza tu swali Ustaadh? nijibu tu ustaadh acha kupanic
Wala sijapanic nimekuuliza kiustaraabu kuna kipindi umenitukana nikakueleza kiustaraabu naona bado unaleta kejeli.

Mkuu nikuambie kitu hii ni ID yangu kama ya ya 20 hivi Invisible anajua nimetulizana sasa hivi mkuu usitake kunirudisha miaka ya 2009 wakati najiunga JF mimi nimeisha pigwa life ban mara tatu hizi ban za miezi 6 sijui miezi 3 nyingi tu achana na ban za siku hizi wiki.

Nadhani umenielewa na Mods mashaidi.
 
Last edited by a moderator:
Migiro'Amina Salim'Magufuli,Makamba,Membe Nimeambiwa six hours ago. Mbona siwaoni hapa JF?
 
Magamba huwa hayaoni mbali, wakati wanakataa mgombea binafsi walikuwa wanawakomoa wapinzani! Hawakujua ipo siku wao ndiyo wangemuhitaji zaidi mgombea binafsi kuliko wapinzani. Eddo angetumia mlango wa mgombea binafsi kwenye uchaguzi huu kwani ana amini ana wafuasi wengi.

Ila sasa asimtishie nyau amiri jeshi mkuu wa bongo kwa kuwaimbisha wapambe wake ili uamuzi wa vikao halali ubatilishwe! Na yeye aende akalambe limao kama hapendi waliopita kupita!
 
Zitto jiandae kung'oka ACT-Wasaliti mwenye chama anakuja nae si mwingine ni EL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom