Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Mdogo umeshindwa nn kutumia lugha ya staha?Mwacheni huyo Enzyme hajitambui; habari ya jana yeye anadai ni ya leo. Halafu hata habaini kuwa hizo briefing zinafanyika kwenye mwanga finyu kuashiria ni usiku. Siyo vichaa wote wako Mirembe!!!
You are very right and this is unacceptable! Tatizo ni kuwa wahusika hawalioni kabisa hili na wanaridhika kirahisi sana hapana tuseme imetodsha sasa! Imetosha ajira zooote za mashirika ya fedha mazurimazuri wanapewa dini moja hii haikubaliki kabisa. Magufuri amewekwa hapo kutuidanganya wananchi na wengine wanadanganyika let us wake up!!!!!No doubt,and we could be making fallacious arguments to deny the presence of UDINI in the given presidential candidates top five,thereby,only Magufuli on the other side of believers,the rest belong to the same! Men with great mind,watch out.
CCM wamechichimbia kaburi wao wenyewe maana mtaani kulikua na kundi kubwa la TEAM LOWASSA
Hana lolote mzee huyu.Angekuwa anaona mbali basi angeniona hapa Mandangeni naelekea Sumi.Yeye na familia yeke kupitia kinje waliibia serikali kupitia UBT bila haya wala aibu hadi Pm kaingilia kati baada ya kelele za bunge!
Tujuze tatu bora
YA jana hiyo nirecoded