Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wanachama wa CCM hawawezi kuifanya nchi isikalike eti kwa sababu jizi limezuiliwa kuingia ikulu. Jeshi na polisi wapigeni tu kwa maana hamna namna nyingine
 
Mwacheni huyo Enzyme hajitambui; habari ya jana yeye anadai ni ya leo. Halafu hata habaini kuwa hizo briefing zinafanyika kwenye mwanga finyu kuashiria ni usiku. Siyo vichaa wote wako Mirembe!!!
Mama Mdogo umeshindwa nn kutumia lugha ya staha?
Malaya ww.
 
Last edited by a moderator:
No doubt,and we could be making fallacious arguments to deny the presence of UDINI in the given presidential candidates top five,thereby,only Magufuli on the other side of believers,the rest belong to the same! Men with great mind,watch out.
You are very right and this is unacceptable! Tatizo ni kuwa wahusika hawalioni kabisa hili na wanaridhika kirahisi sana hapana tuseme imetodsha sasa! Imetosha ajira zooote za mashirika ya fedha mazurimazuri wanapewa dini moja hii haikubaliki kabisa. Magufuri amewekwa hapo kutuidanganya wananchi na wengine wanadanganyika let us wake up!!!!!
 
CCM wamechichimbia kaburi wao wenyewe maana mtaani kulikua na kundi kubwa la TEAM LOWASSA

Hata uki-sample out kwenye mitandao ya kijamıı, Lowasa hatumuungi mkono.Lowasa hafai hafaı.Anaungwa mkono na dealers, wakwepo kodi,Wahujumu n.k.Wa kuogopa sana.
 
Hili nalo neno hiki chama inabidi kipumzishwe kama ilivyo kwa KANU kenya tumesha kisahau. Chama kina watu wazuri lakini hawataki kuthubutu. Na naamini upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM. Rejea Lyatonga mwaka `1995 nusura achukue nchi. Sema mwasisi alisimama imara
 
Hana lolote mzee huyu.Angekuwa anaona mbali basi angeniona hapa Mandangeni naelekea Sumi.Yeye na familia yeke kupitia kinje waliibia serikali kupitia UBT bila haya wala aibu hadi Pm kaingilia kati baada ya kelele za bunge!

kumbe ndo maana alikuwa anaangaika sana,tumejua kilichokuwa kinamfanya hivyo
 
Tujuze tatu bora


  1. Dr. John Pombe Magufuli
  2. Bernard Camillius Membe
  3. Dr. Asha Rose Migiro

Baadae Atakayepita Mwishoni Atakuwa Ni Dr. John Pombe Magufuli Kwasababu Wajumbe Wote Wa Mkutano Mkuu Na Waliokuwa Wakimuunga Mkono TEAM NIMEKATWA NALIA Wataamua Kumuunga Mkono Magufuli Kwani TEAM NIMEKATWA NALIA Hawawezi Kuthubutu Kuwapitisha Membe Na Migiro Kwakuwa Wanajua Kuwa Wote Hao Ni Pro JK Hivyo Wataamua KUKINUKISHA Ili Kuwakomoa. Magufuli Ndiyo CCM Flag Bearer Na Possible Next President IWE ISIWE Na Mazingira Yote Yanambeba Na Kama Ni Mtanzania Unayejitambua Basi Ni Lazima Tu UTAPENDA Magufuli Awe Kiongozi ( Siyo Mtawala ) Ajaye. Kiongozi Ni Mtu Anayekubalika Na Mtendaji Wakati Mtawala Yeye Ni Mpenda Utukufu, Kutembea Na Kusimamiwa. Tanzania Ya Sasa INAMTAKA Kiongozi Na Siyo Mtawala Na Magufuli Naturally Ni Kiongozi Japo Kama Binadamu Ni Lazima Tu Atakuwa Na Mapungufu Yake ILA Mema Yake Na Utendaji Kazi Wake Ni Wa KUTUKUKA. Binafsi Namtakia Kila La Kheri Na Inshaallah Dr. John Pombe Magufuli Atapita....Amen!
 
Dah ama kweli CCM ni zaidi ya uijuavyo.Anyway ndo DOMOKIRASIA ilivyo.Sindano inaumaga lakini ndo tiba yenyewe.
 
ha ha ha,mtatoana macho bure,hili zege ni kama halilali leo.
 
Kwani Monduli kafukuzwa anachong'ang'ania ikulu ambayo hata ajachangia tofali ni kitu gani?. Awaambie Monduli wajipange rodini wampokee kama shujaa angalau ajifariji kwa wale wa nyumbani kwake
 
Hapo Mamvi kwishney. Huko alikotoa fedha watajiju. Naamini watu leo watasherekea huko Dom na Dar kwa kuangushwa kwake. Lkn pia hiyo tano bora yao kama ningepata nafasi ya kupiga kura, kura yangu ingeenda kwa Mhe. Magufuli atukimbize kidogo wa TZ tumelala mno
 
sasa mmegawanyika na kitu chochote kikigawanyika kinapoteza nguvu.huu uwamuzi unaweza ukawa sawa lakini umefanywa wakti muafaka?hawakutumia hekima,fikra zao zilikua na ukungu wa ubinafsi,jazba na kuto kuwa na uwezo wa kuona mbali.nani ni opponent wa ccm?ni lowasa au ACT na CHADEMA.sasa tutajua mwezi wa kumi kama CCM walifanya a wise maamuzi au la.
 
Back
Top Bottom