Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

nawaza kwa sauti
waburushi ni threat wa ustawi wa taifa mama la tanzania
 
TOP 5 HIYOOOO……. LOWASA CHALIIIIIIIIII
MANGE 29 COMMENTS JUL 11,2015 UNCATEGORIZED

hahahahahahhahahahahaahhaahha, Okay roho yaniuma mnooo mamangu hakupita ila huyu Fisadi angepita ingeniuma mara sabini zaidi…. Akapumzikeeee huko….
Uwiii jamani hivi mnajua kuna watu waliuza hadi nyumba ili kuchangia kampeni za Lowassa wakidhani eti atashinda…. Uwiiiii hivi mnajua watu wamepoteza mabilioni eeeeh? Uwiiiii watajutraaaaaaa….. Sasa akatulie jamani ajiuguze, ila alivyo mbishi sitoshangaaa nikisikia kaanzisha chama chake,,,,hahahhahahaha

MAGUFULI …Nahisi huyu ndo ataibuka kidedea…
Tumpe hongera kabisaaa….
Magufuli mie naona tumpe nickname ya Mr. No nonsense….
Muzee ya actions tu..

Membe naona keshaanza kuwekewa zengweeee….SIjui itakuwajee
Aiseee mie any of the top 5 except Mr. Shut up law akipita sina shidaaaaaaa wapite tu…

Asha Rose…


Top 5 inaonyesha kabisa CCM walikuwa wanajaribu kuwakuna vijana, wazee, kina mama na Zanzibar.
Huyu January ashukuru tu yeye ndo alikuwa youngest contender na kawekwa kuwakilisha vijana otherwise tupa kuleeeee
Embu watutajie top 3 akapumzike huyu nae watu tuendelee na ishu zingine….hahahaha
28
READ MORE
JAMANI KEANU YUKO MUJINI…. MPENI KAMPANI BASI…..
MANGE 3 COMMENTS JUL 11,2015 UNCATEGORIZED

Keanu anatafuta kampani jamani, weekend hiyo….
24
READ MORE
SHOW ME YOUR FRIENDS & I WILL TELL YOU WHO YOU ARE – MADABIDA AMUITA LOWASSA MTUME…LOL
MANGE 90 COMMENTS JUL 9,2015 UNCATEGORIZED

Naomba kuuliza hivi kuna mtu na akili zake timamu bila mascandal ambae kajitokeza kumnadi LOWASSA zaidi ya watu wenye tabia kama zake?? au tuseme mafisadi wenzie??
Uwiiii Huyo Madibida si ndo yule aliepewa tenda ya kuleta dawa za HIV nchini alafu akashtakiwa kwa kuleta dawa feki…Duh kuna watu wana roho ngumu jamani, kha!!!
Imagine eti huyo ndo anamuita Lowassa mtume… Na lowassa mwenyewe katulia anapokea baraka za mtu mwenye kesi ya kuuziwa wagonjwa wa HIV dawa fekiiiii…kiruuu.. Ndo mjue Lowassa is dirty, only dirty people wanamkubali….
Yani ndo mjue jinsi gani Lowassa ni mchafu na hafai na kasuswa na viongozi wasafi. Wote waliojitoa muhanga wa kumsifia Lowassa wote hawatakiwi huko CCM na wanajua soon wanatolewa ndo amana wanajikomba kwa LOwassa wakidhani angalau fisadi mwenzao akirudi ikulu labda watapewa wadhifa….
hahahahhahah, hivi guys can you imagine mtu unakuwa na roho ngumu kiasi gani mpaka unamuuzia mgonjwa wa ukimwi dawa feki ili imradi utajirike? uwiii hawa ndo mabesti zake Lowassa………

Na huyo anaemsainia fomu ndo baba mzazi wa yule muuza unga mkubwa mwenye makazi yake SOUTH AFRICA…
Kuna wajinga wanamtaka Lowassa huku wanalalamika watoto wao wanavyokuwa mateja, sasa nyie wenyewe ndo mnataka kuwapa power hao wauza unga then same time mnalalamikia wauza unga…
Hivi Lowassa akishinda by some miracle hiko kibabu hapo mwanae si ndo ataanza kuuza unga hata kwenye traffic light sasa? Badala ya watu kuuziwa maji sasa watauziwa unga…hahahahahhahaha,,,,,,
Yani hamjilewi mnalalamikia vitu ambavyo huyo Lowassa akipata uraisi ndo vitashamiri kupita maelezo maana wote waliompa support ndo source of income hiyo…MBURULAZ WAKUBWAA…..
Ndo maana mzungu anakwambia " Show me your friends and I will tell you who you are"
CCM HAWAFANYI KOSA HAPA,,,,,,,, HUYU FISADI HATA TOP 5 AKIINGIA NI MATUSI MAKUBWA MNOOOOO KWA CHAMA CHA MAPINDUZI TENA NYERERE ATAGEUKA KABURINI…
MBALI NA UFISADI WAKE RAISI ANAUMWA PARKINSON'S DISEASE WA NINI? KAMA MIE MUONGO ANISUE BASI THEN DOCTOR WANGU AMCHUNGUZE…..RAISI HANA UWEZO WA KUONGOZA NCHI…….SIO KWA MAADILI YAKE WALA KWA UGONJWA WAKE…
HUYU MIMI NAAMINI KESHAKATWAAAAAAAAAAAA--
Alafu wenyewe wanavyojaza watu vile eti madai yao watawaogopesha CCM kuwa mzee wa Richmond anapendwa sana…Uwiiiii, CCM msiwasikilize hao, wanaompenda huyo mzeee ni dirty people tu , wenye njaaa na masingle lady wanaotafuta masponsor…hahahahhaahahha
 
Sasa nyie watu mlifikir ccm itatokaje madarakan kama si kwa kufanya kosa kama hili, mi nafurahia tu hapa
Nasikia membe out na mama mzenji
 
bora uende kwa waasi wenzako
 

Attachments

  • lowassa 2.jpg
    lowassa 2.jpg
    122.5 KB · Views: 142
  1. dr. John pombe magufuli
  2. bernard camillius membe
  3. dr. Asha rose migiro

baadae atakayepita mwishoni atakuwa ni dr. John pombe magufuli kwasababu wajumbe wote wa mkutano mkuu na waliokuwa wakimuunga mkono team nimekatwa nalia wataamua kumuunga mkono magufuli kwani team nimekatwa nalia hawawezi kuthubutu kuwapitisha membe na migiro kwakuwa wanajua kuwa wote hao ni pro jk hivyo wataamua kukinukisha ili kuwakomoa. Magufuli ndiyo ccm flag bearer na possible next president iwe isiwe na mazingira yote yanambeba na kama ni mtanzania unayejitambua basi ni lazima tu utapenda magufuli awe kiongozi ( siyo mtawala ) ajaye. Kiongozi ni mtu anayekubalika na mtendaji wakati mtawala yeye ni mpenda utukufu, kutembea na kusimamiwa. Tanzania ya sasa inamtaka kiongozi na siyo mtawala na magufuli naturally ni kiongozi japo kama binadamu ni lazima tu atakuwa na mapungufu yake ila mema yake na utendaji kazi wake ni wa kutukuka. Binafsi namtakia kila la kheri na inshaallah dr. John pombe magufuli atapita....amen!

tatu anapita
amina salum ali
j.makamba
j.magufuli

raisi wenu n

amina s ali

makamu january makamba


waziri mkuu magufuli ama william lukuvi toppp

cu nyt
 
You are very right and this is unacceptable! Tatizo ni kuwa wahusika hawalioni kabisa hili na wanaridhika kirahisi sana hapana tuseme imetodsha sasa! Imetosha ajira zooote za mashirika ya fedha mazurimazuri wanapewa dini moja hii haikubaliki kabisa. Magufuri amewekwa hapo kutuidanganya wananchi na wengine wanadanganyika let us wake up!!!!!

Acheni ujinga wa kuingiza UDINI hapa, katika watano Migiro, Magufuri na Membe dini moja na Amina na Makamba dini nyingine udini uko wapi hapo? Msitudanganye Fisadi mwenzenu hakupita mnawaza mirija yenu mtaiweka wapi sasa mnataka kuleta uchochezi, Shame on you!!
 
Baada ya CCM kuwatangaza watano bora wa kuwania ngazi ya urais imekua gumzo mtaani baada ya Edward liwassa kutokuwemo kwani watu wengi walifikiri kua liwasa angekua wa kwanza kutajwa kati ya watano haoo Lakin nakishukuru chama hicho maana kumetupa mwanya mkubwa UKAWA kushinda ngazi hiyooo. PEOPLES POWER
 
Mama Mdogo umeshindwa nn kutumia lugha ya staha?
Malaya ww.

......ndorooooobooooo.....weeeeee.....sijui umekula maharage ya wapi....unaongea kama umelelewa.....nakusamehe hujui utendalo

For if you forgive men when they sin against you, your heavenly Father will also forgive you. But if you do not forgive men their sins, your Father will not forgive your sins' - Mathew 6:14-15
 
Kwani ni lazima Lowassa awe rais? Hao wengine si nao ni watanzania kama Lowassa? Huyu mzee apumzike tumemchoka sasa! Mbona hao wengine wamekatwa na wametulia kuna nini cha ziada kwa Lowassa?
 
Back
Top Bottom