Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Nyoooo. Kama mlitegemea hivyo haitatokealeo kitanuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyoooo. Kama mlitegemea hivyo haitatokealeo kitanuka
Team Lowassa tunampigia kura Amina ili ukawa wachukue nchi kiulaini,JK kamwaga ugali nasi tunamwaga mboga.
maguful n mzaliwa wa mkoa upi?
Magufuli kajitengeneza mwenyewe kutokana na rekodi yake nzuri ya utendaji. Hakuna aliyekuwa anafikiria kuwa leo hii atapeperusha bendera ya CCM
Mkuu hapa akipita Magufuli mambo yatakuwa mepesi mno. CCM itapeta kotekote, kwa Wabunge na Urais. Dr. Magufuli ni mtaalam wa kuongea. Akimpigia kampeni mgombea wa ubunge najua atapita.Ni pigo kubwa sana kwa UKAWA.
Kuna wengine wanasema wapo Dodoma kwa kazi maalum kumbe tupo wote hapa kwenye banda la chibuku.Kuweni makini sana. Mtu anaweza kuwa manzese anauza mitumba halafu anawazuga yupo Dom.
Ndio maana hata picha ya geti hawezi kuweka
kama wewe ulikuwa hujui ni shauri lako. Wenye akili tulivyotazama kwa Darubini kali tulijua miaka kadhaa nyuma kuwa kwa jinsi CCM ilivyochafuka hawana option zaidi ya kumpendekeza Dr. Magufuli, ambaye kwa record ya utendaji yeye ndiye mwenye nafuu.
Magufuli amechafuka kwa sababu system iliyopo inamlazimisha kupiga dili hata kama hataki, lakini yeye binafsi hana element za kufisadi nchi kama wengine humo CCM.
Na CCM ikitaka kurudi kwenye chart, Mwakyembe awe Waziri Mkuu.
Maguful N Mzaliwa Wa Mkoa Upi?
Duh mkuu ulishafika na huko kumbe! Naam, Chato kuna trafific lights. Naona dalili zote kwamba Dr. Magufuli anapita. Mama Amina atakuwa Makamo.