Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hapa wamestuka timu lowasa inaweza mpiga chini magufuli, so wanataka kwenda kucheza na matokeo kwanza

Wameshasoma nyakati sasa ngoja tuone hizo kura zitalindwa na nani?mwaka huu lazima ccm iondoke madarakani
 
Namuona FaizaFoxy yuko bize pale kwene kwaya anarusha mikono kulia na kushoto..yule pale..yule pale..kada wa sisi ee..apewe kula kwa ndiooo..
 
Last edited by a moderator:
Wote hawakutegemea ... wameokota dhahabu njiani...tuna kazi kweli watanzania!

Hasa Magufuri ameokota Embe kwenye mbuyu hakyamungu!looh!!
Wanamuziki/wafanyakzi mbalimbali/wanasiasa na sisi sote kwa ujumla wetu tuache mambo ya team!leo hii Lowassa na Membe ni team tu ndio zimewakosti!Leo nimejua madhara ya team
 
acheni ujinga watz uchaguzi huu unawapeleka kuwa wtumwa kwa miaka zaidi ya 100 ktk hii mikataba ya kushenzi.jifanyeni mnatafauta sifa za kuwa engineer na ukima mwingine mliofundinshwa ktk akili z akijamaa na wappuuzi wengine.sasa hivi kenge anayeingia ankwenda uza gesi na kila kitu na mwishowe mtajikuta mnakuwa magaidi ili kutetetea nchi kwani hakuna njia mbadala ya kubadili hiyo mikataba...hawa wagonjwa wa ccm wnegine watakuwa wamekufa aua wanajiliza uongo kwamba na wao ni wagonbania haki ya kurejebisha mikataba.

kila binadamu ana akili zake katika dunia hii,,akili hizo ndizo humuongoza kila binadamu kuamua kila kimfaacho.... Na hiki mimi ndicho kinifaacho,,, nature ya taaluma ya magufuli inaonyesha wenye taaluma hizo huwa ni watendaji na sio blah blah kama wanataaluma wengine. Huyu jamaa taaluma yake amesomea fact na hata yeye anaamini kwenye fact na sio uong uongo uongo... Ilipofikia tanzania inahitaji adolph hitler ambaye ataua wazembe, kwa katika vyama vyote sijaona huyo adolph hittler basi kuliko kupoteza kura yangu kwa maana ya kutopiga kura basi bora nimchague mtu aliyesoma science kwa maana amesomea fact na sio vitu vya kufikilika angalau nitakuwa nimeitendea haki nafsi yangu...

Hayo uyatakayo bro yanahitaji damu imwagike na sio kwenye box la kura,,,
 
Mizimu ni adui mkubwa wa maendeleo na kichocheo kikubwa cha ujinga na umaskini. Mungu katuepusha na hilo.
Sasa akaendelee kutambika
Kwa kweli alivokatwa nimefurahi. Miximu na matambiko yanaleta laana kwa nchi ndo mana tuna resources nyingi lakini hatuendelei kabisa. Bora sana
 
Jamaa ni noma....wanachakachuliana hadi wao kwa wao.

Kulikuwa na ugumu gani kuzihesabu hizo kura papo kwa hapo?

Eniwei, acha tu wafu wazikane wao kwa wao.

ccm hawaeleweki...tusubiri tar 14 ukawa wanatoa majibu yao
 
Back
Top Bottom