Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ccm inataka kuchakachua mpaka kura zake wenyew duh hawa jamaa hawafai kabisa..

Huenda ni janja ya ccm kujifanyia kampeni za mapema kwa mgombea wao. Ule wakati wa kumtangaza mshindi wa atakaepeperusha bendera yao, bila shaka ni kipindi ambacho watanzania wengi sana wangependa washuhudie. Katika kushuhudia huko ndio sehemu ya kampeni kwani wengi wataona na kusikiliza tukio hilo kwa attention kubwa. Kwa kuzingatia hilo, ni vema kulitangaza tukio hilo mchana kweupe ili watanzania wengi waone na kusikia na hivyo ni sehemu ya jina la mgombea kuingia katika vichwa vya watanzania. Wakilifanya usiku, watanzania wengi hawataona na kusikia ikizingatiwa kuwa kwa maeneo ya pembezoni, TV hadi kwa jirani. Usicheze na ccm kabisa. Hapo ndo wanauza mgombea wao! Kwa wagombea hao, sijui ya Mungu lakini Magufuli bila zengwe anashinda ikizingatia kuwa hicho si kikao cha Halmashauri kuu, ni cha Mkutano mkuu ambapo wajumbe wengi hutoka hadi kada za chini huko na wilayani ambapo magufuli ni maarufu kwa "fani" yake ya barabara.
 
Nadhani hii thread ndo imevunja rekodi ya kuws thread ndefu kuliko zote JF, hata hivyo UKAWA ndo Watachukua nchi.
 
kuna kitu kinaitwa 'political dynamics' ambapo misimamo inachange with time in a fraction of a second!.

Pasco

Umenena mkuu...ningekuwa karibu na mwamba....magufuli akipita ningemshauri akubali yaishe...ila mwamba na team yake watakubali apite endapo wana plan B...??kwani najua madhara yake kwao wanayajua 100%
 
Tumaini letu watz ni ukawa mkisahau miiba ya ccm mtakuwa kama wagonjwa wanaotibiwa kwa ganzi badala ya dawa.
 
Team Membe watampa Migiro na Magufuli;team Lowassa watampa Amina na wachache watampa Magufuli.Amina atakuwa na kura za ziada kutoka Zanzibar.

Kwa mahesabu haya,Amina,japo hajui kujieleza,ana nafasi kubwa zaidi endapo kura zitapigwa kimakundi na zaidi Amina ameonyesha kujali uwepo wa Lowassa wakati Magufuli kapuuzia kuomba kura za kundi la Lowassa.


Ni mtazamo wangu.

acha kuogopa wewe lowasa amekomaa kisiasa kura zake kazielekeza kwa magufur by the way hasira zake zilikuwa kwa membe tu
 
Back
Top Bottom