Kilosa jana waliambiwa mama anakuja wakaniandaa kwa ugeni... Ghafla akaja Mzee wa msoga kumuwakilisha mama.
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli mkoa wa Morogoro unapaswa kumegwa.Kila la kheri ziara hiyo vipi mpango kuumega Mkoa Morogoro ? Vipi kuzungukia Kilombero Mahenge Malinyi Ulanga etc ? Karibu Morogoro Mama.....msisahau kujikinga Corona hali sio nzuriJoj
Anampango wa kugombea uchaguzi ujao jiandae. Katiba sio msa..fu..Hivi huyo mzee wa Msoga hajastaafu?
Nina mashaka kuwa ana fanya kazi ya urais kwa mara maana ya kuwa hajastaafu
Hivi inasababishwa na na nini?, unakuta au unajikuta ghafla unamchukia mtu uliyekutana nae mara ya kwanza, na ukiulizwa huna sababu au hana sababu kwanini anakuchukia.
Ziara za Rais mikoani zilianzishwa na Magufuli?Mama aende na style yake tu aliyoanza nayo: awezi kuwa kama Magufuli wakati team Magufuli keshaifumua.
Watu washaacha kumfananisha na Magufuli aina maana awezi kumzidi..
Huyo mwamba sio towashi bwashee [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu vipi tena kumbe na mshana jr iv vitu anavutiw navyo sana[emoji41]
[emoji2][emoji2][emoji2] sawa bwashee nasbr kauli yke mkuuHuyo mwamba sio towashi bwashee [emoji23][emoji23]
Hiyo ziara ya mkoani Morogoro??Kila la kheri ziara hiyo vipi mpango kuumega Mkoa Morogoro? Vipi kuzungukia Kilombero Mahenge Malinyi Ulanga etc ? Karibu Morogoro Mama.....msisahau kujikinga Corona hali sio nzuri
Ila Mshana Jr kaniwahi hako kadem kananivutia mno Ila huwa napotezea tu maana mie mlokole[emoji2][emoji2][emoji2] sawa bwashee nasbr kauli yke mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1] unaweza kuweka ulokole pemben mkuuIla Mshana Jr kaniwahi hako kadem kananivutia mno Ila huwa napotezea tu maana mie mlokole
Ni tendo la kiasili sana ambalo liko juu ya nguvu ya kibinadanu kuweza kuli control ..hapa kanuni ya mvutano na ukinzani inahusikaHivi inasababishwa na na nini?, unakuta au unajikuta ghafla unamchukia mtu uliyekutana nae mara ya kwanza, na ukiulizwa huna sababu au hana sababu kwanini anakuchukia.
Maza vijijini hafiki. Amewaachia chademaWakuu salaam,
Leo Julai, 7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili katika maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro, Dumila wilayani Kilosa na wilaya ya Gairo.
Aidha Mkuu wa mkoa wa Morogoro Bw. Martin Shighela alisema ziara hiyo ya Samia Suluhu Hassan atakutana na Wananchi na hivyo akatoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kumlaki Rais wao.
Pia Rais Samia anatarajiwa kushiriki mkutano mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania utakao fanyika Julai 8 katika manispaa ya Morogoro.
Tutakuwa hapa sote kuwaeleza yanayojiri.
huyo ndo raisi kiongozi mkuu na bwana mipangoHivi huyo mzee wa Msoga hajastaafu?
Nina mashaka kuwa ana fanya kazi ya urais kwa maana ya kuwa hajastaafu
Ni hali tu ya kila kibinadamu kihisia[emoji2][emoji2][emoji2] mkuu vipi tena kumbe na mshana jr iv vitu anavutiw navyo sana[emoji41]
Apitie na kukagua kiwanda cha miwa cha Mbigiri ambacho kimewatia hasara wakulima.Wakuu salaam,