Eti anafuatwa na kurudishwa hotelini na escorts za mawakili wa serikali 😅🤣😂.Wakili wa Serikali: Ulionyeshwa Hapa Maelezo ambayo Uliyaandika Ukiwa Polisi, Kuna Maeneo ambayo katika Maelezo Umezungumza Kifupi ila hapa Umezungumza Kirefu, Kwanini imetokea.
Shahidi: Kwa Sababu aliyekuwa anaandika siyo Maneno Yote alikuwa anaandika hapa Naongea Sababu nipo Free, Kwa hiyo siyo Maneno Yote Kaandika Mle.
Mawakili wa Serikali Wanateta Kwa Chini chini
Maswali Yamesimama hapa kwa muda
Mawakili wa kiserikali Wanamuomba Jaji Samahani Kidogo Asubirie, wanajadiliana.
Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Mheshimiwa Jaji sisi hatuna Maswali sanaaaa, Nafikiri Yanatosha. 😀😀😀😀
Ni kweli yupo kizuizini hata anapokwenda mahakamani anasindikizwa na maafisa usalama.Luteni urio inawezekana yupo kizuizini na familia ipo kizuizini pia ni suala la muda tutajua yote
Ipo siku watakamatwa na kutupwa jela kwa kuidanganya serikali na kusababisha ulaji wa burebure wa pesa ya wananchi.Wakitoka hapo wanaenda kusaini per diem ya leo Kama Shilingi 200,000/= hivi. The guys are having good stay in Dar
Leo kamkana baba yake mdogoLuteni urio inawezekana yupo kizuizini na familia ipo kizuizini pia ni suala la muda tutajua yote
Tufanye wewe ndio kibatala na mimi ndio Urio. Uliza hayo maswali machache yenye tijaSiongelei ushabiki mkuu nazungumza kama mtaalam.
Hayo maswali hayalengi kuextract relevant information toka kwa shahidi ni kama wanapiga nae stori tu .
Maswali machache tu yangetosha.
Kwanini wasikiri TU kuwa wamekuwa kwenye mchongo wakulipwa⛹️.Wakili wa Serikali: Ulionyeshwa Hapa Maelezo ambayo Uliyaandika Ukiwa Polisi, Kuna Maeneo ambayo katika Maelezo Umezungumza Kifupi ila hapa Umezungumza Kirefu, Kwanini imetokea.
Shahidi: Kwa Sababu aliyekuwa anaandika siyo Maneno Yote alikuwa anaandika hapa Naongea Sababu nipo Free, Kwa hiyo siyo Maneno Yote Kaandika Mle.
Mawakili wa Serikali Wanateta Kwa Chini chini
Maswali Yamesimama hapa kwa muda
Mawakili wa kiserikali Wanamuomba Jaji Samahani Kidogo Asubirie, wanajadiliana.
Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Mheshimiwa Jaji sisi hatuna Maswali sanaaaa, Nafikiri Yanatosha. 😀😀😀😀
unaifuatilia hii Kesi kweli? hukagundua huyo jamaa kachukuliwa boya tu kwa ukaribu na Mbowe miaka hiyo ya 2012 kwani Inspector Swila kafungua file la Kesi ya ugaidi hata hawajakutana na Lt Leo UrioMkuu wap kasema uongo?? Chanzo kipi kinasema uongo, leteni uthibitisho, hum ndn mtu anaweza akazushaaa tu Jambo halafu Bila ushahid kwa sabba za intereste za watu wakalichukuwa hvyo Bila hata kuhoji, haya semen Sasa uongo Ni upi??
UONGO MKUBWA unaileta hapa, Mwendazake angemmaliza Mbowe na tusingemsikia km Ben saa8, wamemuua Lissu na wanataka wasome risala Ukumbini, kanyang'anywa mafao yake yote, Yule kichaa kakata majina anaowachukia ndani ya Chama chake, kahakikisha wapinzani hawaingii kuanzia Serikali za mitaa, kafungia mitandao yote mpaka JF enzi tulikuwa hatuchangii chochote NI kutishana inboxOhooo mkuu umejib vyema, naomba uelewe na ufungue uelewa kuw Hawa woteee yaan sabaya na mbowe walikuwa wanagombania nafsi yake, sabaya aliletwa for a mission, na mbowe alikuwa ana intercept mission, baada ya pande zote mbili kupambana sabaya akawini, mbowe akasema sawa huku umenishinda na je upande mwingine,?? Nakuhakikishia angekuwepo JPM kusingekuwa na kesi ya Mbowe Wala ya sabaya, ndo maana naita niza kisiasa mkuu
updatea zingine zinaeleza tofautiWakili wa Serikali: Ulionyeshwa Hapa Maelezo ambayo Uliyaandika Ukiwa Polisi, Kuna Maeneo ambayo katika Maelezo Umezungumza Kifupi ila hapa Umezungumza Kirefu, Kwanini imetokea.
Shahidi: Kwa Sababu aliyekuwa anaandika siyo Maneno Yote alikuwa anaandika hapa Naongea Sababu nipo Free, Kwa hiyo siyo Maneno Yote Kaandika Mle.
Mawakili wa Serikali Wanateta Kwa Chini chini
Maswali Yamesimama hapa kwa muda
Mawakili wa kiserikali Wanamuomba Jaji Samahani Kidogo Asubirie, wanajadiliana.
Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Mheshimiwa Jaji sisi hatuna Maswali sanaaaa, Nafikiri Yanatosha. 😀😀😀😀
Methali 6:16-19updatea zingine zinzeleza tofauti
Kibatala amemaliza kumhoji Luteni Urio na sasa upande wa mashtaka wanatakiwa kumfanyia re- examination ( mawakili wa Serikali kumuuliza shahidi kwa ajili ya kupata ufafanuzi kuhusiana na ushahidi alioutoa wakati anahojiwa na mawakili wa upande wa utetezi).
Wakili Chavula: Hebu ifafanulie mahakama ni Kwanini ulimwambia Freeman Mbowe atumie wakala au msaidizi wake kutuma pesa bada ya kutumia namba yake ini salama zaidi
Shahidi: Nilimwambia atumie Wakala au msaidizi wake ili niweze kuwini Trust.
Wakili: Kuna swali uliulizwa kuhusu kukamatwa kwa kina Bwire ukasema hukushangaa ulivyosikia wamekamatwa.
Shahidi: Sikushangaa kwa sababu walinipa taarifa wakiwa wameshapanga.
Wakili: Licha ya wewe kuwa na cheo na kumwambia Freeman Mbowe kuwa huna cheo hebu ifafanulie mahakama kwanini ulisema jibu hilo wewe ulikuwa mkweli.
Shahidi: Kwa mara ya kwanza ndio nakutana na Freeman Mbowe anataka kujua cheo changu nilimjibu hivyo kwa ajili ya usalama.
Wakili: Ulisikika uliieleza mahakama ukisema uliwaambia washtakiwa wakafanye kazi ya ulinzi na kuambatana nae katika kuchukua dola ulikuwa unamaanisha nini
Shahidi: Dhumuni kubwa la Mbowe kuwahitaji hao watu ilikuwa ni kwa ajili ya kukata miti, kuchoma vituo vya mafuta pamoja na kumdhuru viongozi.
Wakili Chavula:Mheshimiwa Jaji ni hayo tu.
HIvi huyu Jamaa MBOWE na hao Wanajeshi Wenzie Walimkosea Nini hadi afanye Usaliti WA kuwatesa HIvi😭😭Yaani tangu nimepata akili Sijawahi sikia Mchaga Tena Mkristo mwenye Roho mbaya kama huyu Urio. Unatesa Wenzako Kwa Faida gani Hapa Duniani waliyopita Wafalme na Matajiri wakaiacha.Huyu Urio akutane Simba wamrarue vipande Vipande. Yaani hata Mshipa WA Aibu Hana. Kazi tu ohh Sijui, Sifahamu, muulize Mbowe. Ikatokea Wakanyongwa Denis Urio atapaya Nini?... kiini cha shauri zima ni huyo jamaa! So, ni lazima atapishwe kila kitu to the extent possible. Na amehara haswa maana "pipi" bado zinaendelea kumtoka!
Urio ndio kawatafuta makomandoo na kuwapa pesa sasa gaidi ni nani hapaLuteni Urio kaupiga mwingi sana, ongera kamanda wa kweli! Kibatala kajaribu kukuvuruga wee kashindwa kaishia kutumia muda mrefu zaidi!
Angalia zoba hili! Kwa hiyo kucheka mahakamani ni kosa? Wewe ndo kubwa la majinga... sio tu shahidi bali komandoo mkufunzi! Uzima wa akili yake ni wa kutilia shaka; no wonder from the begining wakili msomi Kibatala ali-caution "the lights are on but nobody at home" msemo unaomaanisha "mtu mjinga". Alishamwona muda mrefu!
... umati wote uliofurika mahakamani uko kimya unacheka peke yako utakuwa mzima wewe? Au ndio zako kujikesha ovyo mbele za watu bila sababu wewe fala?Angalia zoba hili! Kwa hiyo kucheka mahakamani ni kosa? Wewe ndo kubwa la majinga
Hoja chekeshi hutokana na chuki na ndoto za wanaomuenzi shetaniOhooo mkuu umejib vyema, naomba uelewe na ufungue uelewa kuw Hawa woteee yaan sabaya na mbowe walikuwa wanagombania nafsi yake, sabaya aliletwa for a mission, na mbowe alikuwa ana intercept mission, baada ya pande zote mbili kupambana sabaya akawini, mbowe akasema sawa huku umenishinda na je upande mwingine,?? Nakuhakikishia angekuwepo JPM kusingekuwa na kesi ya Mbowe Wala ya sabaya, ndo maana naita niza kisiasa mkuu
Unganisha na shughuli inayokutanisha mihimili pia leo Dodoma!Mawakili wa Serikali wanaanda Mashahidi mpaka wawatengeneze. Sasa wanajua kesi ni kila siku ipo kwanini Mashahidi hawawi tayari muda wowote? Na Jaji Anawachekea tuuu
Yaani siku 2 kutafuta Mashahidi na Walikuwa Wameorodheshwa. Ni ajabu