Yaliyojiri kesi ya Mbowe 24/01/2022: Shahidi wa 11, H4347 Goodluck amaliza ushahidi wake. Shahidi wa 12 kuendelea tarehe 26/01/2022

KESI YA UGAIDI NAMBA 16 YA MWAKA 2021 INAYOMTUHUMU MBOWE NA WENZIE WATATU, IMEFIKIA PATAMU.

Kesi ya Freeman Mbowe inashabiana na kesi ya maarufu ya Nelson Mandela iliyojulikana kama kesi ya Rivonia, ambapo ilipelekea dunia nzima kufahamu maovu ya utawala wa kibaguzi wa Afrika ya Kusini na ulimwengu kuanza kuingalia Afrika ya Kusini kama nchi yenye matatizo.

Tanzania nayo kesi hii namba 16 ya mwaka 2021 ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzie watatu tayari imekuwa gumzo jinsi vyombo vya dola vinavyofanya kazi inayozua maswali mengi sana, tuendelee kusikiliza kesi hii mpaka tamati yake na je itaifanya Tanzania mpya kuzaliwa kama Afrika ya Kusini mpya The Rivonia Trial: The Landmark Event that Changed South Africa Forever - Google Arts & Culture kupatikana kwa rais Frederik Willem de Klerk kuongoza mabadiliko na Afrika ya Kusini mwaka 1994 kumpata kiongozi wa utawala mpya usio na ubaguzi chini ya rais Nelson Mandela huku aliyekuwa rais wa mwisho wa utawala wa wachache weupe Frederik Willem de Klerk akiwa makamu wa rais ?

Rivonia Trial 1963 - 1964, the trial that changed South Africa

Shot of the Palace of Justice during a lunch recess, seen from the supporters’ point of view. Rivonia Trial. © PTA News LibrarySource: Pretoria

In the Rivonia Trial, the ‘accused’ addressed this problem by using the courts as a site of struggle. They argued that the law was drawn up without the consent of the majority; it was enforced to ensure the perpetuation of an unjust system, and therefore the struggle would be waged to establish a new system, including a legal system that would embody the values of a non-racial constitution that protected human rights.

For the accused, the courtroom became a new site of struggle. The defendants’ daily appearances in court drew large crowds that filled up the courtroom and streets outside the court. Many supporters were in violation of numerous influx control regulations, and the courts for them too, became new sites of struggle.

In presenting the prosecution’s case, Yutar claimed that the accused were all members of what he considered ‘a cabinet of the government soon after the overthrow of the state’. In this cabinet, Mandela was Deputy Minister and Minister of Defence, while Govan Mbeki was Minister of European Affairs. The rest of the accused each had a cabinet portfolio.

Often referred to as "the trial that changed South Africa,” in October 1963, ten leading opponents of apartheid went on trial for their lives on charges of sabotage.

READ MORE Rivonia Trial 1963 - 1964 | South African History Online

Nelson Mandela: The Rivonia Trial​

The story of Nelson Mandela and the other Rivonia Trialists, from the series "Have You Heard From Johannesburg."
Source : Clarity films
 
Mama muachie Mbowe maisha yaende ulidanganywa, wachaga hatudanganyiki kwa kujikosea kwenye machief wasiotambulika kutafuta huruma ya wachaga. Hio mikoa mingine Hakuna machief hadi uje uchagani.
 
... kazi kweli kweli! Shahidi muhimu kama huyu hajaona popote viashiria vya ugaidi; sasa mmefungua kesi ya nini? Nadhani bado tuko kwenye evolution kuelekea kuwa binadamu!
Mkuu dudus hii kesi imeshawaacha watu uchi mpaka sasa hii bora mhusika aseme tu hana nia ya kuendelea na hii kesi...Maana inaendelea kuwavua nguo wote.
 
Kwann mpaka tar 26 wakati upelelezi ushakamalika na washasema Wana mashahidi 21? Mashahidi Wa serikali wamekaa kama timu ya ndondo yaan mnaunga unga tu
 
Mama muachie Mbowe maisha yaende ulidanganywa, wachaga hatudanganyiki kwa kujikosea kwenye machief wasiotambulika kutafuta huruma ya wachaga. Hio mikoa mingine Hakuna machief hadi uje uchagani.
 
Mkuu dudus hii kesi imeshawaacha watu uchi mpaka sasa hii bora mhusika aseme tu hana nia ya kuendelea na hii kesi...Maana inaendelea kuwavua nguo wote.
Kiongozi kucheza wanacheza wao utupu aibu tunaona sisi! Nabii Suleiman aliomba jambo la maana sana; hekima na maarifa.
 
Mama muachie Mbowe maisha yaende ulidanganywa, wachaga hatudanganyiki kwa kujikosea kwenye machief wasiotambulika kutafuta huruma ya wachaga. Hio mikoa mingine Hakuna machief hadi uje uchagani.
Kuna mmoja alikuwa anajipigia debe la kuji-sacrifice huku amezungukwa na majemadari na zana za kila aina akitafuna manono ya nchi. Mwamba amejisacrifice hasa.
 
Salaam Wakuu,

Leo tarehe 24/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.

Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani...
- Jaji anaandika Kidogo palee

- Shahidi amerejea kizimbani, amekaa kwa unyonge sana.. Sio kama Asubuhi alivyokuwa na bashasha

T
ukiwambia mnavuta mdomo- sasa wewe mleta UPDATES hicho umetuandikia unatak kitusaidie nini?
 
Kusema ukweli hakuna haki duniani. Watu wanasota rumande kwa kosa la kula njama, na njama zenyewe hazioneshewi Kila siku ni yaleyale. Kama Jaji atatumia confession kuwatia hatiani kina Mbowe basi atakuwa ametenda kosa la Maisha.
Tatizo hapa sasa ni jaji wa mchongo. Kama mashahidi hawaja ona kosa, mbona jaji bado ana onyesha kuwa na interest na hii kesi?
Kuna makosa mengi ya wazi upande wa mashtaka una fanya, lakini bado jaji ana fumba macho.
 
Kheri ya Divison 3 ya Karatu kuliko ZERO ya gaidi Mbowe
Tatizo hapa sasa ni jaji wa mchongo. Kama mashahidi hawaja ona kosa, mbona jaji bado ana onyesha kuwa na interest na hii kesi?
Kuna makosa mengi ya wazi upande wa mashtaka una fanya, lakini bado jaji ana fumba macho.
 
... kazi kweli kweli! Shahidi muhimu kama huyu hajaona popote viashiria vya ugaidi; sasa mmefungua kesi ya nini? Nadhani bado tuko kwenye evolution kuelekea kuwa binadamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…