Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umeambiwa Leo Ilikuwa siku ya hukumu?Vipi katoka?
Under the interim constitution (valid from 1994 to 1996), there was a Government of National Unity, in which a member of parliament from the largest opposition party was entitled to a position as deputy president. Along with Mbeki, the previous state president, F. W. de Klerk also served as deputy president in his capacity as the leader of the National Party, then the second-largest party in the new Parliament. De Klerk later resigned and went into opposition with his party. A voluntary coalition government continues to exist under the new constitution (adopted in 1996), although there have been no appointments of opposition politicians to the post of deputy president.

... unapata wapi muda wa kujibu taga andamizi kama hilo mkuu? Likaushie tu maana hawana jema hawa.Kwani umeambiwa Leo Ilikuwa siku ya hukumu?
Kenge ana afadhali na ni mstaarabu mnoo.....tafutia jina lingine uyo umbwaWee ni kenge…
ni kwa sababu za kimaadili tu , tunazoKwanini huwa hamtuletei picha za hawa mashahidi?
Mkuu dudus hii kesi imeshawaacha watu uchi mpaka sasa hii bora mhusika aseme tu hana nia ya kuendelea na hii kesi...Maana inaendelea kuwavua nguo wote.... kazi kweli kweli! Shahidi muhimu kama huyu hajaona popote viashiria vya ugaidi; sasa mmefungua kesi ya nini? Nadhani bado tuko kwenye evolution kuelekea kuwa binadamu!
Kiongozi kucheza wanacheza wao utupu aibu tunaona sisi! Nabii Suleiman aliomba jambo la maana sana; hekima na maarifa.Mkuu dudus hii kesi imeshawaacha watu uchi mpaka sasa hii bora mhusika aseme tu hana nia ya kuendelea na hii kesi...Maana inaendelea kuwavua nguo wote.
Kuna mmoja alikuwa anajipigia debe la kuji-sacrifice huku amezungukwa na majemadari na zana za kila aina akitafuna manono ya nchi. Mwamba amejisacrifice hasa.Mama muachie Mbowe maisha yaende ulidanganywa, wachaga hatudanganyiki kwa kujikosea kwenye machief wasiotambulika kutafuta huruma ya wachaga. Hio mikoa mingine Hakuna machief hadi uje uchagani.
- Jaji anaandika Kidogo paleeSalaam Wakuu,
Leo tarehe 24/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani...
Kheri ya Divison 3 ya Karatu kuliko ZERO ya gaidi MboweHii ni aibu kubwa kwa hao mashaidi uchwara..View attachment 2093968
A level na division 3 point 21 imekaaje hiyo?View attachment 2093970
Yaani shahidi wa michongo ni mwendo wa kujichanganya tu...
View attachment 2093971
Aibuu hii ni kubwa sana kwa wapanga michongo....
Tatizo hapa sasa ni jaji wa mchongo. Kama mashahidi hawaja ona kosa, mbona jaji bado ana onyesha kuwa na interest na hii kesi?Kusema ukweli hakuna haki duniani. Watu wanasota rumande kwa kosa la kula njama, na njama zenyewe hazioneshewi Kila siku ni yaleyale. Kama Jaji atatumia confession kuwatia hatiani kina Mbowe basi atakuwa ametenda kosa la Maisha.
Kheri ya Divison 3 ya Karatu kuliko ZERO ya gaidi MboweHii ni aibu kubwa kwa hao mashaidi uchwara..View attachment 2093968
A level na division 3 point 21 imekaaje hiyo?View attachment 2093970
Yaani shahidi wa michongo ni mwendo wa kujichanganya tu...
View attachment 2093971
Aibuu hii ni kubwa sana kwa wapanga michongo....
Tatizo hapa sasa ni jaji wa mchongo. Kama mashahidi hawaja ona kosa, mbona jaji bado ana onyesha kuwa na interest na hii kesi?
Kuna makosa mengi ya wazi upande wa mashtaka una fanya, lakini bado jaji ana fumba macho.
... kazi kweli kweli! Shahidi muhimu kama huyu hajaona popote viashiria vya ugaidi; sasa mmefungua kesi ya nini? Nadhani bado tuko kwenye evolution kuelekea kuwa binadamu!