Unasema kama unauhakika hivi- soma hiyoShahidi yupo jijini Dar tangu J2, sema kila akimezeshwa desa anatema halikai mukichwa...... ndo kesho anaendelea na kumeza madesa! uongo wa kupambana na kina Kibatala ni kazi Ngumu mno, najua mashahidi washashtuana ila watafanyeje ikiwa maboss ndo washapika ngoma na imetoka mbichi, kutwa kujikanyaga kama migambo!!!
Uko kundi gani?
WanaumeUko kundi gani?
Hao ndio mashahidi Sirro aliojitapa nao?Huyu shahidi na yule aliyepita wa ethical hacking wote wamesema hawakuona viashiria vya ugaidi!
... full of confidence au sio?Wanaume
Wamenyimwa hekima Ili tuone uchi wao.Kiongozi kucheza wanacheza wao utupu aibu tunaona sisi! Nabii Suleiman aliomba jambo la maana sana; hekima na maarifa.
Kheri ya Divison 3 ya Karatu kuliko ZERO ya gaidi Mbowe
Labda ni kipofu, umati wa hawa akina mama na magauni yao huuoni π π πinatakiwa yaitishwe maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima..na wananchi kwa wingi wao washiriki..Tofauti na hapo huu ni unafiki kama unafiki mwingine
Wapenzi wa Mbowe sio wajinga kama wewe wanaotaka kudaka Risasi kwa mikono.inatakiwa yaitishwe maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima..na wananchi kwa wingi wao washiriki..Tofauti na hapo huu ni unafiki kama unafiki mwingine
Kwa jinsi ninavoona hii kesi mchongo upo kwa chui jike, DCI , DPP na Jaji. Hawa mashahidi wanaganga njaa tu maisha yao yaende.
Chadema mnajitahidi sana kumtoa mwenyekiti kabla ya hukumu.Labda ni kipofu, umati wa hawa akina mama na magauni yao huuoni [emoji28][emoji28][emoji28] View attachment 2094341
Mkuu mbona unasema wananchi washiriki kwa wingi WAO?inatakiwa yaitishwe maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima..na wananchi kwa wingi wao washiriki..Tofauti na hapo huu ni unafiki kama unafiki mwingine