Mh wazazi tuna hasara, Sasa na wewe waliokuzaa Wànasema tuna mtoto! Miezi Tisa timboni unatoa kitu Kama wewe, eh Mungu wa mbinguni, Mungu wa Rehema!Wamfunge tu mbona ushahidi wa jamhuru umeenyooka hivyo. Kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga naa gundi. Kama hii kesi ni ya uwongo niamini kesi ya namna gani. Technologia aidanganyi bhana
Mnasumbua tu mahakana.
Siyo tu kwamba hajui kama ni mwenyekiti wa CHADEMA, bali hajawahi hata kulisikia hilo jina. Sasa akisema uongo kama huo wa wazi kabisa, unadhani ataweza kusema ukweli wowote ule? Muongo ni muongo tu. Shetani ni shetani.Mwanasheria wa Tigo tena wakili aliye kwenye kiapo mahakamani, anatuambia hajui kama Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA
Sio kwamba tu hajui kama Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA, bali ye kasema hamjui kabisa Mbowe!!!!! This is a big jokeMwanasheria wa Tigo tena wakili aliye kwenye kiapo mahakamani, anatuambia hajui kama Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA
Hiyo ilikuwa Tafsida ya kufikisha ujembe... maoni yanguUshahidi wa jamuhuri umenyooka?! Na kwamba wa Sabaya ndiyo wa kuunga unga?
Kweli wewe utakuwa kilaza wa kutupwa!
Ujumbe uliotaka kufikishwa ni upi kwa maoni yako?Hiyo ilikuwa Tafsida ya kufikisha ujembe... maoni yangu
AMEN, AMENTunamwamini Mungu kutenda jambo la ajabu katika kesi hii asante Mkuu Replica kutuunganisha na Mahakama.
Jamii Forum imekuwa mahali salama kwenye usiri kuliko Tigo
Inabidi Tigo wamfukuze kazi yule pimbi..kwenda mahakamani kuongea maneno mazito kama yale. Kwamba kampuni haiwajibiki kutunza siri za wateja... wanataka nani sasa atunze?Wakili wa tigo nadhani usiku wa kuamkia leo ilikua ni mwendo wa nightmare
Na hatima yao itakuja kuwa ileile, vilevile.Alishasema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
hahaha,Aliyecheza nafasi ya kibatala alikuwa shallow sana.. Wanarudia igizo zima kwa ingizo jipya
Wa leo madesa hayajakaa kabisa ameona atachafua zaidiMashahidi wanaanza kuingia mitini?
Au huyu wa leo riheso haikwenda vizuri wanaenda kurudia?
Mwenyewe🏃Labda wa Leo ataweza kuthibitisha hata kwa 1% ugaidi wa Mbowe !
me naona aje mama samia kutoa ushahidi maana alisema upo na umekamilika
Huyo hawamwoni tena hata kwa tochi. Kaogopa kutolewa jasho na maswali asiyo na majibu nyoofu, kaona isowe tabu🏃.Mashahidi wanaanza kuingia mitini?
Au huyu wa leo riheso haikwenda vizuri wanaenda kurudia?
Naam!!Mkuu iyo pua ni yako?
Hiyo imeshajichafua ni zamu yetu kuwaadabisha🏋️.Kama ni kweli nadhani kampuni la tigo limeamua kumzuia asije ili kulinda heshima yake
Martin Maranje manase anasema alikuwepo mahakamani, alianza kuongea na mawakili wa serikali wakaonekama kutoelewanaShahidi either kaingia mitini, au wanasheria wa jamuhuri wamegunduwa ni muendelezo wa aibu. Kwahiyo wanataka muda zaidi wa rehearsal.
Siyo muuza mbege tu pekee ndiye aliyeleta aibu kwa jamuhuri, pia yule mtaalam wa forensic aliyekuwa akijinasibisha na usomi pamoja na mwanasheria uchwara wa Tigo ambaye naye ushahidi wake ulikuwa wa ki tigotigo tuu!😄
Kesi ya kubambika kama story haijakaa fresh, huwa haibambi hata kidogo. Watunzi wa hovyo kabisa. Kuna kesi moja ambayo mtuhumiwa eti alitokea kuwa mkenya, kisha akaibukia kanisani kwa Gwajima. Polisi walisema! Nimesahau kesi yenyewe. Lakini ilikuwa high profile na polisi wakawa wanakuja na story za kutungatunga tu kama ilivyokuwa issue ya Mo Dewji kutekwa.