Shahidi either kaingia mitini, au wanasheria wa jamuhuri wamegunduwa ni muendelezo wa aibu. Kwahiyo wanataka muda zaidi wa rehearsal.
Siyo muuza mbege tu pekee ndiye aliyeleta aibu kwa jamuhuri, pia yule mtaalam wa forensic aliyekuwa akijinasibisha na usomi pamoja na mwanasheria uchwara wa Tigo ambaye naye ushahidi wake ulikuwa wa ki tigotigo tuu!😄
Kesi ya kubambika kama story haijakaa fresh, huwa haibambi hata kidogo. Watunzi wa hovyo kabisa. Kuna kesi moja ambayo mtuhumiwa eti alitokea kuwa mkenya, kisha akaibukia kanisani kwa Gwajima. Polisi walisema! Nimesahau kesi yenyewe. Lakini ilikuwa high profile na polisi wakawa wanakuja na story za kutungatunga tu kama ilivyokuwa issue ya Mo Dewji kutekwa.