Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Ata mbowe akifungwa ni sawa ila ukweli umejulikana naona aibu mwenye wanavyojichanganya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Siwezi kushangaa wakimfunga. Kama wale kina Adamoo waliteswa na jaji akaona ni kawaida kabisa, basi lolote linawezekana maana hukumu tayari ilishatolewa tena na rais mwenyewe. Sasa hivi ni utekelezaji tu.
 
Masoud Great Thinker!!Hyo katuni Inaweza amsha mambo!Please ameshika shoka sjui anataka kulitumia kufany nini. Nchi yangu hii Sjui tunakoelekea wapi???!!
Hilo shoka kazi yake ni kukata miguu iliyozidi na kichwa kilichozi ili hatimaye mlango wa friji ufunge[emoji88]
 
Inaitwa firing Pin siyo fine pin
 
Ni firing Pin siyo fine Pin
 
Wanatishia na elimu kwahivo vikozi vifupifupi eti ukasoma wapi? wapitena? Hahahhhaaah...!!
Wote hao wamefeli form four na wengi hata darasa la saba walifeli

Sasa mnawaonea kuhojiwa namtu smart alopiga madivisheni wani mwanzo mwisho kama wakili msomi kibatala.

Mashahidi wao wengi hawanashule wanaiaibisha serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…