Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kushangaa wakimfunga. Kama wale kina Adamoo waliteswa na jaji akaona ni kawaida kabisa, basi lolote linawezekana maana hukumu tayari ilishatolewa tena na rais mwenyewe. Sasa hivi ni utekelezaji tu.Ata mbowe akifungwa ni sawa ila ukweli umejulikana naona aibu mwenye wanavyojichanganya
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Huyo shahidi hajui hata kiapo Hadi amesaidiwa.Sawa, tuko Pamoja tushuhudie waongo wanavyoaibishwa!
Hilo shoka kazi yake ni kukata miguu iliyozidi na kichwa kilichozi ili hatimaye mlango wa friji ufunge[emoji88]Masoud Great Thinker!!Hyo katuni Inaweza amsha mambo!Please ameshika shoka sjui anataka kulitumia kufany nini. Nchi yangu hii Sjui tunakoelekea wapi???!!
Inaitwa firing Pin siyo fine pinKesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine.
Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 29/10/2021
UPDATES
Mpaka sasa mawakili upande wa utetezi tayari wamewasili mahakamani.
Mpaka sasa ni saa nne kasoro, kesi bado haijaanza.
Jaji anaingia 3:50
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe dhidi ya Jamhuri inatajwa.
Wakili wa Serikali Robert Kidando anasimama kutambulisha
1. Robert Kidando
2. Nassoro Katuga
3. Ignas Mwanuka
4. Esther Martin
5. Tulumanywa Majige
6. Jenitreza Kitali
7. Abdallah Chavula
Wote ni Mawakili wa Serikali Waandamizi isipokuwa Jenitreza Kitali ni Wakili wa Serikali.
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Shauri limekuja kwa ajili ya kusikilizwa na Leo tuna shahidi Mmoja, tupo tayari Kuendelea
Jaji: Utetezi
Wakili Peter Kibatala: na sisi tupo tayari Kuendelea
Jaji anaandika
JAJI: Anakuwa Shahidi namba ngapi?
Wakili wa Serikali: Namba 03
Jaji: Majina
Shahidi: namba F 5914 D Coplo Hafidh Abdallah Mohamed
JAJI: umri
Shahidi: 38yrs
Jaji: Kazi S
hahidi: Askari Polisi
Jaji: Dini
Shahidi: Muislam
Shahidi: Mimi namba F5914 Coplo Hafidh naapa kuwa kwa ushahidi huu nitakaotoa utakuwa wa kweli, Eeeh Mwezi Mungu nisaidie
JAJI: KIAPO KIPO SAWA?
Jaji: asaidiwe
Shahidi: Mimi Coplo Hafidh nathibitisha kuwa Ushahidi nitaka toa utakuwa wa kweli, kweli mtupu, Eeh Mwenye Mungu nisaidie
Wakili wa Serikali: nitakuuliza Maswali utajibu kwa Sauti
Wakili wa Serikali: Kazi yako
Shahidi: Askari Polisi, nafanya Makao Makuu DSM
Wakili wa Serikali: Askari polisi tangu lini
Shahidi: 2013
Wakili wa Serikali: Ieleze Mahakama tukufu Kituo chako cha kazi ni wapi
Shahidi: Forensic Beaural Dar es Salaam
Wakili wa Serikali: Forensic Beaureau ni kitu gani
Shahidi: ni Maabara ya Uchunguzi wa Kisayansi
Wakili wa Serikali: Upo Kitengo gani
Shahidi: Silaha na Milipuko
Wakili wa Serikali: ieleze Mahakama Kitengo chako kinahusika na Nini (Ballistic and Explosions)
Shahidi: Uchunguzi wa silaha na Milipuko
Wakili wa Serikali: Upo tangu lini?
Shahidi: Tangu 2014
Wakili wa Serikali: umesema Kitengo Chako Kinahusika Kuchunguza silaha, eleza Majukumu yako ya Msingi ni yapi
Shahidi: Kuchunguza Kitako cha Risasi(cartridges)
Wakili wa Serikali: Jingine
Shahidi: Kwenda Eneo la tukio kwa Uchunguzi
Wakili wa Serikali: Jingine
Shahidi: Kuandaa Riport baada ya Kuchunguza Ballistic and Explosion Report
Wakili wa Serikali: Jingine
Shahidi: Kutoa Ushahidi Mahakamani
Wakili wa Serikali: ieleze Mahakama kama unajukumu lingine
Shahidi: Hakuna
Wakili wa Serikali: Mnafanya Mambo yapi
Shahidi: Kupokea Silaha mbalimbali zinazofanya Uhalifu, Je hii silaha Inafanya kazi..? Hii silaha ni Mzima..? Hii sasa ni Physical Examination.
Wakili wa Serikali: sasa Mnafanya nini
Shahidi: Tunafanya Visual Examination
Shahidi: hii Bunduki ni Mzima, Ina Koki,.? Ina Magazini.? Je Magazini ni Nzima..? Kama inagonga Vizuri kama Nyundo inanguvu..? NitaIkoki katika Upande wa Mitambo Inafanya Vizuri Je Fine pin Inafanya Kazi?
JAJI: fine pin ni nini?
Shahidi: Kiwashio cha Risasi
Shahidi: Nitaangalia Ndani ya Bao (Mtutu) internal Ballistic Ni Safi..? Nitaikoki kama Inafanya Vizuri, Ni hayo tu
Wakili wa Serikali: sasa Uchunguzi wa aina ya pili ni upi
Shahidi: Nimepokea Pistol au SMG
WS: Unaitwaje huu Uchunguzi wa Pili
Shahidi: Comparison Examination
Wakili wa Serikali: Kitu gani kinafanyika
Shahidi: Nachukua Ganda nililoletwa na Mteja Kisha napeka kwenye Mitambo Maalum
WSi: Unafanya hii Comparison Kubaini nini
Shahidi: Je hii Risasi inasifa hii
Wakili wa Serikali: Mnatumia Mitambo Maalum
Shahidi: Unaitwa Computer Microscope and digital Camera Forensic Machine LAECA 2004
Wakili wa Serikali: Umeeleza Vyema, Kuhusu Uchunguzi wa Silaha Kwenye Risasi unafanya kitu gani
Shahidi: Kitaalamu inaitwa Life ammunition...Risasi itaangalia Kiwashio, Je imegongwa..!
Wakili wa Serikali: na hiyo Miss fired ieleze Mahakama, Je live ammunition ikiwa Miss fired Maana yake ni nini
Shahidi: Ni mbovu sababu ulipiga haikulipuka
Wakili wa Serikali: fafanua sasa Mahakamani endapo haijagongwa ni vipi
Shahidi: kama haijagongwa ni Nzima
Wakili wa Serikali: Tofauti na Kugomgwa na kutokugongwa Mnafanya kitu gani
Shahidi: tunaangalia Gun Powder Resolutions
Shahidi: kwemye Risasi Kuna Powder tunaangalia Je powder yako imeganda au Nzima
Yani Bullets Catridge tuna angalia Michuruzi yani Internal Ballistic
Hizo alama za Kipekee tunasema Proved, Shahidi Tuna angalia kitu kinaitwa Twist, Twist silaha/Risasi Kuna Twist Right na Twist Left, Na angalia Counts inasema Twist Right na Left Nyingine unapopiga Kuna Counts Mbili unapopiga Mpaka Kumdhuru Mtu. Inatusaidie Silaha mbalimbali zinazoweza Kufanya uhalifu
Wakili wa Serikali: Tumalizie kwenye Mlipuko, unachunguza nini
Shahidi: Inapotokea Mlipuko wowote sisi tunakwenda Kwenye Eneo la Tukio (SCENE), Wanaenda Askari wa awali. Alafu tunaenda sisi wataalamu Kuangalia kama Kilichotokea ni Local Explosive au Industrial Explosive
Wakili wa Serikali: Wewe unautalamu gani sasa,
Shahidi: Kuchunguza Silaha Mbalimbali ambazo zinatumika kwenye Uhalifu
WS: Kozi ya kwanza
Shahidi: Kuchunguza Maganda ya Risasi Mbalimbali
WS: Ulifanya kwa Muda gani
Shahidi: kwa Miaka 2
Wakili wa Serikali: kingine tofauti ya kuchunguza
Shahidi: Kuandaa Riport za Kitaalamu
Wakili wa Serikali: Kozi gani Nyingine umefanya
Shahidi: Kozi ya Uchunguzi wa awali ya Upelelezi, Basic CID course
Wakili wa Serikali: Ulifanya Mwaka gani na wapi
Shahidi: Mwaka 2004 kwenye Polisi College Zanzibar
Wakili wa Serikali: Ulijifunza nini huko Zanzibar
Shahidi: Nilijifunza Mambo mbalimbali ya Kiupelelezi, Nilijfunza Bunduki Kupiga, Kuchukua alama za Vidole, kutafuta Finger Prints. Kulift Finger Prints, baada ya Kuchunguza Finger prints na Kuhamisha
Wakili wa Serikali: Kingine
Shahidi: Kufungua na Kuirudishia Bunduki
Wakili wa Serikali: Kingine
SHAHIDI: Nilipata Elimu ya awali Juu ya ku Collect Ushahidi Katika Crime scenes
Wakili wa Serikali: Ieleze Mahakama kama ulioata Kozi Nyingine
Shahidi: Baada ya Kurudi Ofisni nilihitajika kwenda Kozi Nyingine Moshi Mwaka 2006
Wakili wa Serikali: Ulijifunza kitu gani
Shahidi: Techniques, protocol in Fire arms Evidence
Wakili wa Serikali: fafanua
Shahidi: Kufungua silaha, Vifaa vyake Kuirudishia, na Kutengeneza kama inawezekana NikAfanya Polisi College Dar es Salaam ambayo inaitwa Ballist tools, fire arms, tools and Ballistic Materials testing Mwaka 2007.
Wakili wa Serikali: Kozi Nyingine
Jaji: Jina Kozi rudia
Shahidi: To determine and Examination of fire arms
Wakili wa Serikali: Wapi
Sahidi: Botswana police College Mwaka 2010
WS: NYINGINE
Shahidi: 2015 inaitwa Forensic in General
Ballistic Woundage, Vidonda, Mtu amepigwa Bastola amekufa naangalia Shooter alikuwa Upande gani
Wakili wa Serikali: ieleze Mahakama Utaratibu wa Kupokelewa Vitu Vya kufanyia kazi ukoje
Shahidi: Kwanza Mteja awe na Barua
Wakili wa Serikali: kwenye Barua kuna kuwa na nini
Shahidi: Barua ionyeshe kosa
Wakili wa Serikali: Kingine
Shahidi: aeleze nini anaomba tumfanyie
Wakili wa Serikali: Tofauti na Barua anakuwa na Nini
Shahidi: aje na hivyo Vielelezo husika sasa
Wakili wa Serikali: Barua pamoja na Vielelezo hupokelewa eneo gani na nani anapokea
Shahidi: anakuwa Afisa wa zamu anayetupangia Leo utakuwa zamu na Kupokea Vielelezo Tunakuwa wawili
Wakili wa Serikali: Makishapokea kama Afisa wa zamu anafanya nini
Shahidi: Tunapokea Barua na Kielelezo nafungua Kujiridhisha Alivyovileta yupo sahihi
Ni firing Pin siyo fine PinKesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine.

hapa utakuta jamaa alimaliza form four na div 4 ya 29.HAHIDI: Nilipata Elimu ya awali Juu ya ku Collect Ushahidi Katika Crime scenes
lazima wamlime hapa... 😀Shahidi amekuwepo serikalini tangu 2014 lakini kuna kozi ya upolisi amehudhuria Botswana mwaka 2010!! Ohh, baraaaa
Kwa hyo Please hawaogopi kuukata miguu ya Raia asiyekua na Hatia sio?Basi sawa...!!Wanalazimisha kumfunga Mbowe, Polisi wako tayari kumkata miguu ili atoshe kufungiwa kwenye friji.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa ballistic, forensic mbona hazifiki mwisho. Hawa Mashahidi wanabore.Mbona huu ushahidi wa huyu shahidi wa 3 tatu ni kama anaelezea background yake tu?
kaja mahakamani kutusomea CV yake.Mbona huu ushahidi wa huyu shahidi wa 3 tatu ni kama anaelezea background yake tu?
HahahahahaNimeiona katuni ya Kipanya leo jamaa anavyohangaika kumfungia mwenzake kwenye friji wakati hapiti hata kwenye mlango wa friji yenyewe, nikajua kweli kuwa kichaa sio lazima utembee uchi barabarani.
Hawana mashahidi hawa mkuuShahidi wa 3 anazunguka tu angesema sentensi mbili tu badtola na risasi si effective na functional,
Ili turudi kuhoji umiliki