Usinitoleee mimi mihasira yako hapa!Atapigwa mamayo kwanza halafu utafuatia wewe.
Utapata sulubu kubwa sana kwenye maisha yako ambayo hutayajua, kamata hii.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Polisi wana utaratibu wa kuajili mtu akiwa tayari na elimu ya hayo aliyoyatolea ushahidi au ni fani ya kipolisi ambayo unaisoma ukisha ajiliwa?basi maana yake ni kwamba hizo kozi alizisoma kabla hajaanza kazi
Nieleweshe, hivi unasomea kazi za polisi kabla ya kuajiliwa au unaajiliwa then unapelekwa kusoma?Endelea kujifariji Mama saidi.Huyu shahidi wa leo inaonyesha yupo vizuri.Halafu ndugu yangu usitushikie akili bana kwa kutuaminisha polisi wote hawajasoma,wengi tumehitimu nao vyuo vikuu.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Na limagufuli liko wapi? Kwishaaa! Sasa hivi linachezea vitasa vya hatarii kuzimu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee.. Hata kina Lema walikuwepo wako wapi?
Msigwa yuko wapi?
Sugu yuko wapi?
Na kama yameisha mnacholialia nini wakati mbaya wenu kafa?
Acha kutuingiza chaka, graduates hawaendi CCP wanaenda Police College na wakifuzu wanaanza na jiwe moja...Hujui itifaki zao mkuu.Pale kituoni kuna polisi konstebos(waso na vyeo) masajenti ila wana elimu za shahada.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Haiwezekani kujifunza kozi za silaha kabla hajawa Askari.Kiufupi tu, kama shahidi anasema kaanza kazi 2013, basi maana yake ni kwamba hizo kozi alizisoma kabla hajaanza kazi, tatizo lako umefikiria mbali sana mpaka umetoboa nyavu, au vinginevyo kama ukiwa sahihi kwenye fikra zako, basi ni kosa la shahidi katoa maelezo yasiyo sahihi hasa kama kozi za askari mtu huanza kuzisomea akiwa tayari kazini.
Nakwambia hivi litalokukumba happo mbele usijekuja humu.Usinitoleee mimi mihasira yako hapa!
Nenda kazioneshe pale mahakamani.
Huyu jamaa ametumia vibaya hii kitu.Kwa hiyo mtu akisema tumtangulize Mungu mbele hawezi kufa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mibavicha akili zenu aliondoka nazo lisu zote kwenda kwa amsterdam?
Fahamu kilichoandikwa na sina chama. Lkin napinga ukatili uliofanywa ni huyo mungu wenu mtu mliyemtegemea kwa kila kitu.Kwa hiyo mtu akisema tumtangulize Mungu mbele hawezi kufa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mibavicha akili zenu aliondoka nazo lisu zote kwenda kwa amsterdam?
Basi ongozeni nyie maombi ili gaidi atoke rumande
Mkuu pasipo kuegemea upande wowote hii kesi Mbowe anaachiwa huru maana mashahidi wenyewe wanajichanganya mno.Basi ongozeni nyie maombi ili gaidi atoke rumande
Siasa za kipuuzi kwani dhalimu wenu bado yupo?Tuongeze maombi kwa makosa gani aliyofanya, hizo siasa za kipuuzi ndio tuombe Mungu?
Utanena sana kwa lugha manka!Fahamu kilichoandikwa na sina chama. Lkin napinga ukatili uliofanywa ni huyo mungu wenu mtu mliyemtegemea kwa kila kitu.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Ata mbowe akifungwa ni sawa ila ukweli umejulikana naona aibu mwenye wanavyojichanganya
Kuzimu siyo getoni kwa Lisu na amsterdamNa limagufuli liko wapi? Kwishaaa! Sasa hivi linachezea vitasa vya hatarii kuzimu.
Alikudunkula na hiyo kitu!!?
Kuzimu siyo getoni kwa Lisu na Amstredam..
Oanisha katika tarehe sio mweziMkuu pasipo kuegemea upande wowote hii kesi Mbowe anaachiwa huru maana mashahidi wenyewe wanajichanganya mno.
Mfano Kaaya muda anaosema alikutana na Mbowe Machame road akiwa na gari la KUB ni muda ambao Mhe Mbowe alinyang'anywa gari hilo na uongozi wa bunge.
Pia muda aliosema alionana na Mbowe ni kipindi ambacho Mbowe alikuwa mahabusu gerezani baada ya kunyimwa dhamana.
Yaani upande wa mashitaka wanaleta aibu kubwa sijui hawakujipanga vema.Ushahidi wa kushukwa ni mbaya sana mkuu.