Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Endelea kujifariji Mama saidi.Huyu shahidi wa leo inaonyesha yupo vizuri.Halafu ndugu yangu usitushikie akili bana kwa kutuaminisha polisi wote hawajasoma,wengi tumehitimu nao vyuo vikuu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nieleweshe, hivi unasomea kazi za polisi kabla ya kuajiliwa au unaajiliwa then unapelekwa kusoma?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee.. Hata kina Lema walikuwepo wako wapi?
Msigwa yuko wapi?
Sugu yuko wapi?

Na kama yameisha mnacholialia nini wakati mbaya wenu kafa?
Na limagufuli liko wapi? Kwishaaa! Sasa hivi linachezea vitasa vya hatarii kuzimu.
 
Kiufupi tu, kama shahidi anasema kaanza kazi 2013, basi maana yake ni kwamba hizo kozi alizisoma kabla hajaanza kazi, tatizo lako umefikiria mbali sana mpaka umetoboa nyavu, au vinginevyo kama ukiwa sahihi kwenye fikra zako, basi ni kosa la shahidi katoa maelezo yasiyo sahihi hasa kama kozi za askari mtu huanza kuzisomea akiwa tayari kazini.
Haiwezekani kujifunza kozi za silaha kabla hajawa Askari.
 
Kwa hiyo mtu akisema tumtangulize Mungu mbele hawezi kufa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mibavicha akili zenu aliondoka nazo lisu zote kwenda kwa amsterdam?
Huyu jamaa ametumia vibaya hii kitu.

IMG_20211028_135238_003.jpg
 
Kwa hiyo mtu akisema tumtangulize Mungu mbele hawezi kufa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mibavicha akili zenu aliondoka nazo lisu zote kwenda kwa amsterdam?
Fahamu kilichoandikwa na sina chama. Lkin napinga ukatili uliofanywa ni huyo mungu wenu mtu mliyemtegemea kwa kila kitu.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Basi ongozeni nyie maombi ili gaidi atoke rumande
Mkuu pasipo kuegemea upande wowote hii kesi Mbowe anaachiwa huru maana mashahidi wenyewe wanajichanganya mno.
Mfano Kaaya muda anaosema alikutana na Mbowe Machame road akiwa na gari la KUB ni muda ambao Mhe Mbowe alinyang'anywa gari hilo na uongozi wa bunge.

Pia muda aliosema alionana na Mbowe ni kipindi ambacho Mbowe alikuwa mahabusu gerezani baada ya kunyimwa dhamana.

Yaani upande wa mashitaka wanaleta aibu kubwa sijui hawakujipanga vema.Ushahidi wa kushukwa ni mbaya sana mkuu.
 
Ata mbowe akifungwa ni sawa ila ukweli umejulikana naona aibu mwenye wanavyojichanganya

Mbowe atafungwa kwa lipi? Jaji anatakiwa atoe hukumu sio kwa mambo subjective bali hukumu inatakiwa itokane na Ushahidi uliojitosheleza pasipo shaka uliotolewa MAHAKAMANI!!! So far that has not happened.
 
Mkuu pasipo kuegemea upande wowote hii kesi Mbowe anaachiwa huru maana mashahidi wenyewe wanajichanganya mno.
Mfano Kaaya muda anaosema alikutana na Mbowe Machame road akiwa na gari la KUB ni muda ambao Mhe Mbowe alinyang'anywa gari hilo na uongozi wa bunge.

Pia muda aliosema alionana na Mbowe ni kipindi ambacho Mbowe alikuwa mahabusu gerezani baada ya kunyimwa dhamana.

Yaani upande wa mashitaka wanaleta aibu kubwa sijui hawakujipanga vema.Ushahidi wa kushukwa ni mbaya sana mkuu.
Oanisha katika tarehe sio mwezi
 
Logic ya huyu shaidi mpaka sasa sijaona. Ingekuwa hiyo silaha imetumika kwenye tukio/matukio mengine inge make sense. Hapo ndipo unafanya ballistic test. Na unaweza kutumia risasi yeyote. Hapa kuwa hamna haja kutumia risasi mliyoikuta pamoja na silaha. What proof is there that the used bullets ndizo alikutwa nazo suspect. Test done basically is to confirm a spent casing was fired from it.
 
Back
Top Bottom