Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

"Mallya: Wakati unaelezea ushahidi wako ulitueleza kwamba wakati unapokea ulivaa gloves na vifaa vingine.

Shahidi: Hayo ni mambo ya kawaida sana. Siwezi kueleza kila kitu hapa kwamba nilivaa miwani, gloves na hijabu.

Mallya: Mheshimiwa Jaji, naomba ajibu swali langu."

Shahidi wa leo ana jazba sana, halafu anaonekana ni mtu jeuri na mwenye kiburi....
Huyu ni aibu mkuu,askari mwenye experience anakwambia terrorism ni maswala ya utalii 🤣 🤣 🤣 ,alafu hata aina ya bunduki aliyotaja ni tofauti kabisa 😳 😳 😳 ,sasa huko Botswana alikuwa anawakilisha vp taifa kwa aibu hii?
 
Nimeiona katuni ya Kipanya leo jamaa anavyohangaika kumfungia mwenzake kwenye friji wakati hapiti hata kwenye mlango wa friji yenyewe, nikajua kweli kuwa kichaa sio lazima utembee uchi barabarani.
Aibu kubwa sn kwa serikali hii ya kikaburu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
leo kweli nimelewa uwezo wa polisi hata walio kuwa ngazi za juu kuwa ni tatizo ndani ya jeshi !
IMG_1847.png
 
kaka ukitaka kujua mtu ni mwerevu ama famba wala usihangaike wewe angalia matokeo yake ya kidato cha nne na sita tu.
Sio kweli,wajinga wengi ndio mnajificha kwenye matokeo mazuri.

Mwerevu utamjua kwenye kitu positive anachofanya kwenye jamii sio kwenye makaratasi.

Ndio maana tuna watu kama Bill Gates,na yule Chinese richest man, they don t have good grades!

Mbowe ni Habari nyingine when it comes to successful people kupitia biashara na siasa!

Wewe ata familia yako hawajui ulichowatendea achilia mbali mtaani!

Mbowe ni ten times greater than all people in your clan combined...
 
Nakumbuka tukiwa shule mkiitwa kwa gafla hasa na walimu wenye vyeo vyeo. Mnachekecha akili haraka tutakua tumefanya nini??

Mkijipata kuna kosa mmefanya haraka mnakubaliana kama ni ile ishu tuseme hivi kama ni ile ya jana tuseme hivi.

Mkifika wote sentensi ni ile ile, hata adhabu ilikua ikipungua.

Sasa hawa mashahidi na muda wa kujipanga wanao ila wanajikanganya mno, kweli uongo sio jambo jema kama hauna mamlaka.
 
Kama terrorism ni masuala ya utalii basi mbowe anahusika maana anahoteli ya watalii pale hai.

Huyu atakuwa amesoma kuliko kingai na mahita!!! Askari tegemeo lao na msomi wao wakimataifa.
Kama polisi msomi mtaalam wa silaha hajui tofauti ya tourisms na terrorism badi kazi tunayo!!! Fomfo feliaz hao
 
Back
Top Bottom