Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

Hapa nimekaa nikijiuliza kwa nini yule dhalimu mwendazake hakupiga marufuku matumizi ya lugha ya malkia, tazameni sasa legacy alioiacha baada ya kusalimu amri kwa COVID-19! Orodha ya matopolo aliyoiacha kwa kweli inachefua.

Akitoka magu2016, anaingia Crimea, akitoka Crimea, anaingia zandrano, akitoka zandrano anaingia Omulasil, akitoka Omulasil anaingia wa ukae, akitoka wa ukae anaingia Dong Jin...yaani orodha ya takataka tupu, wamezolewa wapi hawa?

Hebu tujikumbushe aliyonena Baba wa Taifa Tanganyika ilipopata uhuru mwaka 1961, nanukuu, "Sisi Watanganyika, tunataka kuuwasha Mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini pale ambapo hakuna matumaini, upendo pale ambapo pana chuki, heshima ambapo pamejaa dharau

Halafu wapo wanaosingizia lugha wakidai Kiswahili kumbe hata Kiswahili chenyewe nacho tabu tupu. Ndugu zangu Watanzania, hii laana tunaimalizaje? Tumefikaje hapa tulipo? Taifa letu linachekwa hadi na viinchi tulivyosaidia kuvikomboa?
Umeeleweka Great thinker 2021. Restless ni dalili ya kuwa on heat
 
Wanapima sijui kitako,mara mm...sijui Bore nini nini huko..Inakera.. Kesi ya Kipuuzi kama Polisi wenyewe walivyo wapuuzi..
... ajabu sana! Hoja za upande wa Jamhuri kuhusiana na ile silaha/bastola zingegusia angalau mambo matatu ya msingi to build a case. Mosi, connection (isiyotia shaka) ya ile silaha na Adamoo; pili, uhalali wa umiliki wake (Adamoo anaimiliki kihalali au vinginevyo); tatu, intention (malicious) ya Adamoo kuimiliki (kama kweli ni yake). Hayo mawili ya mwisho, well, kwa sababu Jamhuri wamesema wana mashahidi 20 let's hope watakuja kuya-prove ila hilo la kwanza ambalo ndilo msingi wa hayo mengine, so far, wamesha mess-up!

Huo upuuzi mwingine alioandika kwenye ripoti sijui tundu la risasi (mtutu) 9mm na utopolo mwingine mwingi usio na kichwa wala miguu hauna maana yoyote. Kwani hata mtutu ungekuwa 1000mm hoja ni silaha ya moto na sio ukubwa au udogo wa silaha (ya moto).
 
Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.

Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.

Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
 
Sawa Bwana Kingai tumekuelewa na Machame ipo wapi vileee. Na pia mlikutana na Mbowe Longido wakati akiwa gerezani ukonga.
CCM haibebeki mjue ninyi vibwengoo
 
Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.

Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.

Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Ishu sio kuuliza, inshu Ni dhana ya kuuliza maswali"
Wewe unadhani Ni kwa Nini shahidi aliulizwa maswali ya namna hyo??

Hivyo vyombo vya habari ulitaka waweke vichwa vya habari 'shahidi aulizwa maswali ya kitoto'??

Acheni kubambikia kesi za kutunga zilizojaa uongo hata mtoto wa siku moja anajua Ni uongo!

Mnabambikia halafu hampangilii uongo , Aibu iwatafune kisawasawa!
 
Yaani kila ukikaa unaanzisha uzi mpya hujui hilo swali limeanzia wapi unadhani mtu ataulizwa kitu ambacho hakipo kwenye taarifa yake aliyoambiwa aliandika yeye yule alipoandika kiingereza kwa kukosea walijua tuu huyu shule ngumbaru tutamkamatia huku huku alikoandikiwa report ya uongo..
 
Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.

Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.

Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
Ni mambo ya utalii🤪
 
Ndio maana Watanzania wote tunataka Sheria zetu zote zitafsiriwe kwa lugha yetu ya Kiswahili, Pia Mwenendo wa kesi pamoja na Hukumu ziwe zinaandikwa kwa Lugha ya Kiswahili.
karibu 99%ya watanzania wote tunazungumza na kuandika lugha ya kiswahili lkn cha kushungaza Mahakama zetu bado zimekumbatia mfumo wa kikoloni wa matumizi ya kizungu!!
kwani kulikuwa na haja gani kumuuliza swali kwa kizungu?
angemuuliza kwa Lugha yetu ya Taifa hata mkulima wa kijijini angemjibu.
Another... trial of didan kimath????
 
Hii kesi ni ya,kihistoria na itabaki kama kumbukumbu kwa vizaz vinavokuja.
 
Sasa hapo huelewi nn, kwani kozi na kazi inaanza nini
emu jaribu kutofautisha kozi za kijeshi tena mambo sensitive kama silaha na milipuko je ukiwa raia utafundishwa ayo na kingine shaidi kasema kaanza kazi ya upolisi 2013 elewa apo na amesema amesomea kozi izo za mambo ya silaha na milipuko kuanzia 2004,2006 hadi na 2010 je unaweza nambia kozi izo zipo ktk vyuo vya tanzania bila kupitia jeshini.
 
hili ndilo tatizo la kuwa na mwenyekiti wa kudumu ktk Chama.
nadhani wenyeviti wengine wa vyama vya upinzani watakuwa wamejifunza kitu kutoka kwa mboe, lazima tuwe na ukomo ktk nafasi yoyote ile ya uongozi.
unapo kuwa mwenyekiti wa kudumu unalewa madaraka na kujifanyia mambo unavyo jisikia mwishowe ndio kama hayo yaliyo mkuta.
 
Samia kesha juwa Mbowe sio size yake kajidharilisha mno roho mbaya mroho wa madaraka na ni dikteta uwezo wake wa kuona mambo ni finyu mno ameigeuza hii nchi hadi wote tunaonekana mazuzu hivi alikuwa anaropoka BBC kuwa Mbowe ni Gaidi kaa kipofu anadhani uongo wake utamjenga ona sasa anavyovuna aibu na fedheha toka kwa vilaza mashahidi wake wanavyokoroma pumba
 
Back
Top Bottom