Hapa nimekaa nikijiuliza kwa nini yule dhalimu mwendazake hakupiga marufuku matumizi ya lugha ya malkia, tazameni sasa legacy alioiacha baada ya kusalimu amri kwa COVID-19! Orodha ya matopolo aliyoiacha kwa kweli inachefua.
Akitoka
magu2016, anaingia
Crimea, akitoka
Crimea, anaingia
zandrano, akitoka
zandrano anaingia
Omulasil, akitoka
Omulasil anaingia
wa ukae, akitoka
wa ukae anaingia
Dong Jin...yaani orodha ya takataka tupu, wamezolewa wapi hawa?
Hebu tujikumbushe aliyonena Baba wa Taifa Tanganyika ilipopata uhuru mwaka 1961, nanukuu, "Sisi Watanganyika, tunataka kuuwasha
Mwenge na kuuweka
juu ya mlima Kilimanjaro, umulike hata
nje ya mipaka yetu, ulete
tumaini pale ambapo
hakuna matumaini,
upendo pale ambapo
pana chuki,
heshima ambapo
pamejaa dharau
Halafu wapo wanaosingizia lugha wakidai Kiswahili kumbe hata Kiswahili chenyewe nacho tabu tupu. Ndugu zangu Watanzania, hii laana tunaimalizaje? Tumefikaje hapa tulipo? Taifa letu linachekwa hadi na viinchi tulivyosaidia kuvikomboa?