Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

Updates zimegoma.MM martin naona kakwama na kuna account inaitwa @sautiYAupinzani nayo ime update kidogo lakini tayari naona twitter wameipiga pin.
Naam tushukuru kwa yote!!
Huwezi kuzuia updates , ziko palepale
 
Duuh! serikali naona leo wameweza kuzuia updates.Mama kaja na mtambo nini wa kizuia....?
 
Leo tena kama kawaida tunakuletea moja kwa moja yanayojiri kwenye Mahakama kuu , divisheni ya Uhujumu Uchumi , ambako kesi ya ugaidi unaogharimu kitita cha tsh laki 6 inaendelea .

Taarifa zilizopo ni kwamba yule shahidi aliyepata kipigo kikali na kutundikwa juu mithili ya nyama choma anayeitwa Adam kasekwa ataendelea kutoa ushahidi wake .

Wanawachelewesha tu wawaachie waje tulijenge taifa la mlengo wa kipinzani
 
Mashahidi wamegeuzwa kuwa wahalifu mbele ya mahakama. Kweli Kibatala ni Pilato.

Nasubiri siku HAIJIPII Zerro anasimama kizimbani kutoa ushahidi, atakachofanywa na Kibatala siku hio ataimba wimbo wa PGA usio na kiitikio.
Akipigwa mvua pia mje na hizi porojo
 
Jamaa wanamtengenezea inshu nyingine alikuwa anatumia madawa ya kulevya hko, hawakawii kumpeleka kwa mkemia mkuu wa serikali wapate positive findings, maana wanadai eti hakua na battle confusion ila nadawa ya kulevya!
 
Taarifa zilizopo ni kwamba yule shahidi aliyepata kipigo kikali na kutundikwa juu mithili ya nyama choma anayeitwa Adam kasekwa ataendelea kutoa ushahidi wake .
Jumatatu itakuwa chungu.
 
Jamaa wanamtengenezea inshu nyingine alikuwa anatumia madawa ya kulevya hko, hawakawii kumpeleka kwa mkemia mkuu wa serikali wapate positive findings, maana wanadai eti hakua na battle confusion ila nadawa ya kulevya!
kwa hiyo mashitaka ya Ugaidi hawautaki tena wamerukia madawa ya kulevya.
 
kwa hiyo mashitaka ya Ugaidi hawautaki tena wamerukia madawa ya kulevya.
Si tu hlo , limeibuka lingine kuwa shahidi adamoo alikubali na kusaini kuwa aliachishwa kazi kwa utovu wa nidhamu, na kwa mujibu wa maelekezo yake aliachishwa kwa sababu ya battle confusion na si utovu wa nidhamu!
 
Back
Top Bottom