wengi pamoja na wewe hamkuelewa nini maana ya mateso na kipigo. Je muda wa kusaini maelezo aliteswa?..jibu ni hapana. utashikaje pen wakati una pingu? utakaaje kwenye kitu ili u- sign wakati una pingu miguuni, au wakati upo utupu nkMashaidi wa utetezi (Chadema) wanajigongagonga kweli. Yaani anasema Jaji aandike aliteswa na hakuteswa, vyote kwa pamoja!!! Wahesabu maaumivu kwa ushahidi huu
Wanaweza Sana, think it that way, Samia akisema leta uongo watakataa?Unadhani Jeshi wanaweza kupika taarifa?
Sorry, unadhani inaweza kuleta sura gani1. Kwanini iwe Jeshi? Kwani aliyekuwa mwajiri wa Adamoo (JWTZ) ambayo ni taasisi ya umma yenye taratibu za kisheria za ku - HIRE, FIRE and SUSPEND ingewezaje kumsimamisha au kumfukuza kazi mwajiriwa/askari wake bila kumtaarifu kwa maandishi na sababu za kufukuzwa kwake..?
2. That means, lazima lazima Adamoo ana barua ya kuachichwa kwake kazi ya uaskari jeshini. Kwa hiyo haihitajiki hata kuomba taarifa kwa CDF kwa sbb evidence kwamba Adamoo aliachichwa kazi kwa sababu yoyote anayo yeye anayejitetea...
Kama JWTZ lilimwachisha kazi Adamoo kwa sababu yoyote ile bila ya kumwandikia suspension/dismissal letter inayoeleza sababu ya kuachichishwa kwake kazi ya uaskari, basi hilo ni tatizo jingine kabisa na tena ni kubwa linaloweza kuathiri kesi yote hii na kuipa sura nyingine kabisa...!!!
Utetezi sidhani kama Kuna aliyefundishwa la kusema. Wànasema yaliyotokea kweliNilichojifunza ni kwamba kuwa Shahidi kwa kitu ulichokiona na kukishuhudia kwa macho ama kutendewa ni kazi rahisi mno mno, usiombe kufundishwa ushahidi ni lazima utachemka tu mbele ya safari..
Una akili nene lakini haina virutubisho.Mashaidi wa utetezi (Chadema) wanajigongagonga kweli. Yaani anasema Jaji aandike aliteswa na hakuteswa, vyote kwa pamoja!!! Wahesabu maaumivu kwa ushahidi huu
Nisaidie na Mimi Nini kilitokea.....Una akili nene lakini haina virutubisho.
Kasome tena zile proceeding uje hapa.!
Naona kama wameidrive vizuri- maana kama alikuwa na battle confusion asingweza kutafuta ajira maana hawezi kuajirika.Jamaa wanamtengenezea inshu nyingine alikuwa anatumia madawa ya kulevya hko, hawakawii kumpeleka kwa mkemia mkuu wa serikali wapate positive findings, maana wanadai eti hakua na battle confusion ila nadawa ya kulevya!
uwe unaelewa basi kama huelewi kopa bundle mpigie Lemakwa hiyo mashitaka ya Ugaidi hawautaki tena wamerukia madawa ya kulevya.
Hicho kituo Ogopa sana,ukipita pale kwanza ni mgeni huwezi kujua kama kuna kituo cha Polisi na hata kama unajua utashangaa kuona kituo hakina harakati nyingi kama vituo vingine,kipo kimya sana. Halafu hiki kituo kina history na vinasaba na watu wasiojulikana,watuhumiwa na wahalifu wengi wanaotolewa Mikioani kuletwa Dar hukifia pale.Siri ya Tazara inafichuka na hii kesi.
Wameweka watu mahabusu miezi nane bila kuwafikisha mahakamani.
Tazara ni Guantanamo ya Tz
wenzako wanakesha wanakariri PGO wewe unazurura humu JF.uwe unaelewa basi kama huelewi kopa bundle mpigie Lema
Does it persist lifetime? Alitibiwa siyo? Nini maana ya kutibowa? Meaning healing or some relief.....Naona kama wameidrive vizuri- maana kama alikuwa na battle confusion asingweza kutafuta ajira maana hawezi kuajirika.
pili mtu mwenye battle confusion siyo rahisi kumdhibiti- rejea ffilamu ya Rambo- wale polisi walipomletea za kuleta - alikula nao sahani moja.