Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
naanza kupata picha kwanini General Hamza aliamua kujitoa mhanga kuwapiga risasi Hawa nduli halafu inaonekana tabia zao ni Moja Hawa,Ila ni wapuuzi sana, kumbe jamaa walikuwa hata kazi ya kumlinda Mbowe hawajaanza? Mi bado najiuliza sijui watathibitisha vipi huo ugaidi zaidi ya yale maelezo ya kulazimisha.
Unamanisha shahidi wa pili au sio? ?Mshtakiwa No. 2 kaipa mwanya Serikali, kawega ugumu wa kesi kwa Mbowe, amedhiilisha kuwa wamekaririshwa tena akihojiwa na wakili wake! Wampange vizuri ama sivyo upande wa mashtaka watakapo mchalange atayumba sana.
Komando wamemtesa halafu anawaambia anaomba aruke ruke kidogo(kichura chura? ) apunguze maumivuKomandoo nimemkubali
Ishu ya upelelezi kuendelea sio shida. Kuna cold cases zinapelelezwa miaka 30 ndo zinatatuliwa. Kwahiyo wala sio jambo la ajabu kisheria. Na haiwezekani kuwe na sheria ya kulimit muda wa upeleleziwakililzwa watamwambia Jaji kwamba bado walikuwa wanakusanya upelelezi, sheria za nchi yetu hazijaweka time limit ipi upelelezi uwe umekamilika - hapa ndipo tatizo lilipo.
Unaweza kukamatwa leo na upelelezi ukaendelea hata miaka 2.
Inachonishangaza ni kwamba na yule Urio aliyemchoma mbowe kwenda kuripoti kwa DCI naye walimtesa wakamuingiza humo humo😂😂😂😂Hiki kituo ni kwa kazi maalum !! kimya kimya wanaume wanalia aisee !!
Hahaha ha ndo nimeshangaa jamaayao ambaye wameprint watsap chat zake kama ushahidi kumbe pamoja na kuripoti nae alichezea😂😂Mimi nilidhan Denis urio alikua ndumilakuwili, kumbe naye alichezea kichapo akalazimishwa kwa nguvu ,
Kuna haja mkuu wa majeshi atueleze, inakuwaje watu wake wapitie mambo mazito af yeye amekaa kimya, au ndo walewale?!
Ni shahidi wa pili au muite mshtakiwa/mtuhumiwa wa 3Maelezo ya shahidi wa 3 yanaonyesha bado wapo polisi wenye roho za malaika
Hili la Tazara si jipya kwani zipo kesi nyingine iliwahi kutajwa.Siri ya Tazara inafichuka na hii kesi.
Wameweka watu mahabusu miezi nane bila kuwafikisha mahakamani.
Tazara ni Guantanamo ya Tz
Ila haijawahi kuwekwa uchi kama kwenye hii kesiHili la Tazara si jipya kwani zipo kesi nyingine iliwahi kutajwa.
Hv ni lazima afike au anaweza kutofika?!Mashahidi wamegeuzwa kuwa wahalifu mbele ya mahakama. Kweli Kibatala ni Pilato.
Nasubiri siku HAIJIPII Zerro anasimama kizimbani kutoa ushahidi, atakachofanywa na Kibatala siku hio ataimba wimbo wa PGA usio na kiitikio.
sasa angekinukisha si wangemfanya kama walivyo mfanya bwana Hamzaangekinukisha kidogo.
Lakini inavyoonekana yule mwenzao aliyetafutwa hadi Arusha ameuwawa maana shahidi kasema alishikiwa bastola kichwani na kuambiwa tutakutupa kama mwenzakoVipigo vya kionevu huwa haviuw,polisi wanatesa watu sana.
kwahiyo aachwe mtaani andelee kuumiza raia wasiokua na hatia et kwa kua upelezi haujakamilikaIshu ya upelelezi kuendelea sio shida. Kuna cold cases zinapelelezwa miaka 30 ndo zinatatuliwa. Kwahiyo wala sio jambo la ajabu kisheria. Na haiwezekani kuwe na sheria ya kulimit muda wa upelelezi
Ila ishu ni kwamba mtu asikamatwe kama upelelezi haujakamilika
Siasa za kihasimu zilikomazwa na kufikishwa kiwango cha juu kabisa na jiwe wako.[emoji15][emoji15]Siasa za kihasimu zimekutawala sana...
AminaMungu ibariki CHADEMA