Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

nipo ndani shauri linaendelea...

wakili wa serikali:
KINGINE LIPI ULIKUWA UNAFANYA JESHINI

shahidi:
FORCE KEEPING CONGO

jaji:
FOCRCE KEEPING MAANA YAKE NINI

shahidi:
TULIKUWA TUNAFORCE AMANI CONGO

Jaji:
unaweza Kutofautisha force Keeping na Peace Keeping

Shahidi:
MOJA SUDANI HATUTAKIWI KUPIGANA NA WAASI MPAKA WATUONYESHEE SILAHA /MTUTU LAKINI CONGO TULIKUWA TUNATOKA TUNAENDA SEHEMU KAMA TUNGUU KWA MAELEZO KUWA YOYOTE TUTAKAYE MKUTA TUNAPIGANA AU KUMUUA.

Wakili wa Serikali:
ni sahihi nikisema Kuwa una Degree Sita za martial Arts


Shahidi:
Siyo sahihi

Wakili wa Serikali:
kwa hiyo wewe Mwalimu gani ujui Martial Arsts, Wewe Unafundisha nini

Shahidi:
Nafundisha kuruka na parashuti, Kupigana Juu ya Maji kwa kutumia silaha na Combats
 
Tatizo inawezekana hata hujui hii kesi ni ya matukio ya Julai 2020. Sasa niambie nani alikuwa Rais 2020, mama au lile zee?
Nani aliyemkamata Mbowe? Na kusema ana ushahidi? Mi nashauri kwanza ondoa chuki. Uwe normal. Then andika kwa heshima za kiafrika na malezi mema. Inawezekana nisikubaliane na Magufuli ila nikabaki najiheshimu mimi hata kama yeye simweshimu.
 
Shukuruni Mungu mashujaa wa JWTZ wameamua kuwa watulivu. Wakiamua hivyo vijamaa vyenu vitalamba mchanga kwa kutumia vijambio

Au umesahau Hamza alichowatendea
Mashujaa waliofukuzwa jeshini!!!

Acha kuwa kiazi umri unakuacha kamanda.
 
Nani aliyemkamata Mbowe? Na kusema ana ushahidi? Mi nashauri kwanza ondoa chuki. Uwe normal. Then andika kwa heshima za kiafrika na malezi mema. Inawezekana nisikubaliane na Magufuli ila nikabaki najiheshimu mimi hata kama yeye simweshimu.
Ushwahi ona shoga anatunza heshima yake???

Haiwezekani maana Hana,ndio huyo jamaa unayejaribu kumweka sawa.
 
Haya manenoo "...........poa tuh ila mikazo tuh ......" yamenikumbusha jarida la sani ... mzee kifimbo cheza na madenge
 
Asilimia kubwa ya waliopita seminari au waliofikia ata hatua ya ufrater alafu wakaishia njiani wakarudi huku kwenye mishe za kijamii tu huwa wanaasili ya ugaidi ndani mwao we wafatirie tu utagundua hicho kitu
 
Ninayo hofu ya mwisho wa kesi hii, nafsi inaniambia mwisho wake si haki ingawa jaji anaonekana kuwa poa.
 
Hakuna mhalifu anaweza kusema polisi wanatenda haki. Hivi polisi wamekuja kukukamata badala ya kusalimu amri unaanza kutunisha misuli unataka wakuombee utulie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…