Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Shahidi anakumbuka namba ya bastola lakini hakumbuki jina la askari kwenye kitambulisho
Shahidi anasema ana uwezo wa kuona. Lakini hapo hapo anakiri kuwa hana uwezo wa kuona.

Wakati anadeki na kufanya usafi kule Rau, alikuwa na miwani. Wakati anakuja mahakamani, ameisahau alikotoka. These people are not serious at all!

Hii kesi ni ya aina yake kusema ukweli. Hadi ifikie mwisho, tutaona na kusikia mengi yenye kushangaza na kustaajabisha!

Mawakili wa serikali, wameamuwa kuachana na maelezo ambayo mashahidi waliyaandika na kutia saini. Wanawakaririsha habari mpya mpya kabisa ili tu ionekane kwamba kesi ina mashiko na kwamba PGO ilifuatwa sawia.
 
NI mambo ya aibu sn
 
Hawa mashahidi wanawatoa wapi...

toka lini askari anakamata mtu anamfanyia upekuzi then anamuonyesha raia silaha aliyomkuta nayo jambazi mpaka namba!....ili iweke na kwa malengo yapi...?
Hapo chacha yani hadi kete anazokutwa nazo mtuhumiwa zinahesabiwa hapo hapo kwenye eneo la tukio kisha polisi wanawaaambia raia waliopo jirani idadi!!
 
Chetia cha kidato cha nne chenye daraja la mwisho kabisa ndio kigezo cha kujiunga na jeshi la polisi!

Miaka 60 ya uhuru, viva Tanzania
 
We mwenye ushahidi wa ukweli umeshindwa nini kuupelema mahakamani? nyie ndo mnaodai mnapenda haki? mbona hamzingatii haki za mashahidi? ushaona upande wa pili wakimdhihaki mke wa yule "komandoo" humu? acheni mahakama ifanye kazi yake.
Upande wa pili ni upi huo?
 
Mtaani naskia wanamtania tourism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…