Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa. Shauri kuendelea kesho Nov, 2, 2021

Shahidi anakumbuka namba ya bastola lakini hakumbuki jina la askari kwenye kitambulisho
Shahidi anasema ana uwezo wa kuona. Lakini hapo hapo anakiri kuwa hana uwezo wa kuona.

Wakati anadeki na kufanya usafi kule Rau, alikuwa na miwani. Wakati anakuja mahakamani, ameisahau alikotoka. These people are not serious at all!

Hii kesi ni ya aina yake kusema ukweli. Hadi ifikie mwisho, tutaona na kusikia mengi yenye kushangaza na kustaajabisha!

Mawakili wa serikali, wameamuwa kuachana na maelezo ambayo mashahidi waliyaandika na kutia saini. Wanawakaririsha habari mpya mpya kabisa ili tu ionekane kwamba kesi ina mashiko na kwamba PGO ilifuatwa sawia.
 
Shahidi anasema ana uwezo wao kuona Lakini hao hapo anakiri kuwa hana uwezo wa kuona.

Wakati anadeki na kufanya usafi, alikuwa na miwani. Wakati anakuja mahakamani, ameisahau alikotoka. These people are not serious at all!

Hii kesi ni ya aina yake kusema ukweli. Hadi ifikie mwisho, tutaona na kusikia mengi.

NI mambo ya aibu sn
 
Hawa mashahidi wanawatoa wapi...

toka lini askari anakamata mtu anamfanyia upekuzi then anamuonyesha raia silaha aliyomkuta nayo jambazi mpaka namba!....ili iweke na kwa malengo yapi...?
Hapo chacha yani hadi kete anazokutwa nazo mtuhumiwa zinahesabiwa hapo hapo kwenye eneo la tukio kisha polisi wanawaaambia raia waliopo jirani idadi!!
 
Shahidi anasema ana uwezo wao kuona Lakini hao hapo anakiri kuwa hana uwezo wa kuona.

Wakati anadeki na kufanya usafi, alikuwa na miwani. Wakati anakuja mahakamani, ameisahau alikotoka. These people are not serious at all!

Hii kesi ni ya aina yake kusema ukweli. Hadi ifikie mwisho, tutaona na kusikia mengi.

Mawakili wa serikali, wameamuwa kuachana na maelezo ambayo mashahidi waliyaandika na kutia saini. Wanawakaririsha habari mpya mpya kabisa ili tu ionekane kwamba kesi ina mashiko na kwamba PGO ilifuatwa sawia.
Chetia cha kidato cha nne chenye daraja la mwisho kabisa ndio kigezo cha kujiunga na jeshi la polisi!

Miaka 60 ya uhuru, viva Tanzania
 
We mwenye ushahidi wa ukweli umeshindwa nini kuupelema mahakamani? nyie ndo mnaodai mnapenda haki? mbona hamzingatii haki za mashahidi? ushaona upande wa pili wakimdhihaki mke wa yule "komandoo" humu? acheni mahakama ifanye kazi yake.
Upande wa pili ni upi huo?
 
Hata mimi namsubiri kwa shauku kubwa kabisa. Wengine tunaifuatilia hii kesi kama vile tupo mahakamani kabisa.

Sikuamini yule shahidi wa tatu aliyekuwa akijidai ni mtaalam msomi, alipoulizwa mara mbili kuwa terrorism ni nini na yeye kujibu ni masuala ya utalii!😂🤦🏾‍♂️

Pia pale walipotumia neno terrorist, “conspiracy to terrorist”, ilitakiwa watumie neno terrorism. Kuna vya kusikitisha, maajabu ya kushangaza, pamoja na vya kuchekesha haswa.

All in all, maisha ya wengine kina Mbowe yako kwenye msitari.
Mtaani naskia wanamtania tourism
 
Back
Top Bottom