Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Shahidi wa pili utata mtupu.
 
Kama mitandao inaingilia uhuru wa mahakama kukuletea wewe ukijue kinachoendelea, achana nayo, usiifuatilie.

Hata hivyo wameshaingia, unajisikiaje na mawazo yako?
Muwe mnajiaribu kumwelewa mtu. Sikumaanisha ulivyoelewa. Ndio sababu mwisho nikamaliza kwa kusema tunasubiri update toka mahakamani.
 
Dawa: Tuendelee kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Salute Mkuu. Endelea kuunganisha tuone "Hii tamthilia hii...mwisho wake nini
 
Kabla ya kudai haki popote pale MUNGU ANAAGIZA UTII NA UAMINIFU.
Je, utii na uaminifu upo? Kama hakuna utii na uaminifu haupo sheria itafanya yake
Huwezi kumtii shetani na wafuasi wake.
 
Shahidi: upekee wa siku hiyo, tangu nizaliwe nilikuwa sijawahi kuona Magaidi, ikabidi niwaangalie vizuri..

Ushahidi wa kufundishwa huu aisee
Ndio gaidi anatisha ndio nikasema wafungwe mapema Sana ,alitaka kuripua vituo vya mafuta na kumuuwa DC

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…