kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Athari zake nizipi kwenye kesi yamsingi na jaji kaandika amegoma ,alijua baada yakusoma shaidi wa utetezi angeuliza maswali gani ili kuwatetea watuhumiwa..ha ha ha ha, Shahidi kashagoma !!!
SISOMI...
Wafuasi wa mwendazake wengi no vihiyo huwa hawana reasoning yeyoteNi mbinu ambayo alifanikiwa sana kuitumia Mwendazake na kupata wafuasi wengi vipofu.
Shahidi: upekee wa siku hiyo, tangu nizaliwe nilikuwa sijawahi kuona Magaidi, ikabidi niwaangalie vizuri..
Ushahidi wa kufundishwa huu aisee
Hivi hapa kwa kuyasema hayo, hajamhukumu mtuhumiwa kuwa ni gaidi? Nilitegemea aseme sijawahi ona mtuhumiwa wa ugaidi lakini yeye kasema hajawahi on gaidi..!!Shahidi: upekee wa siku hiyo, tangu nizaliwe nilikuwa sijawahi kuona Magaidi, ikabidi niwaangalie vizuri..
Ushahidi wa kufundishwa huu aisee
nimekumbuka kuna mwaka nikiwa kidato chatatu nilivuta cha arusha kunasehemu ilibidi niiname ili nipite rafiki nilijukuta takribani kilomita 6 nimetembea nimeinama ,alinishitua bibi moja hivi ndo kuinuka,daaaa!
Sawa mkuu.yess
Huna tofauti na samaki aina ya CHANGUDOA, ukimshika kichwani analegea mkiani.Upo kwako unakula bata mwezako analiwa na papasi hatahujampelekea maji eti unamuhurumia
USSR
Mbona unaweka habari mkanganyiko, hii inahusiana na niniMwisho mwemaView attachment 1946152
Mkuu wewe ndiyo Martin M
mshana JrKosa lao liko wapi
Asante kwa ushauri mkuu.Acha kuandika uhalo
Mwisho mwemaView attachment 1946152
Kesi kuu ugaidi na utakatishaji pesa kesi ndogo kuteswa na madawa ya kulevyaHuna tofauti na samaki aina ya CHANGUDOA, ukimshika kichwani analegea mkiani.
Wewe umeona wapi nimetoa hisia za huruma.
Acha kutumika utaishia pabaya.