Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

ha ha ha ha, Shahidi kashagoma !!!

SISOMI...

2935469_E_t4qvjWYAQxp9b.jpg
Athari zake nizipi kwenye kesi yamsingi na jaji kaandika amegoma ,alijua baada yakusoma shaidi wa utetezi angeuliza maswali gani ili kuwatetea watuhumiwa..

Je, hili nibao kwa watuhumiwa au bao kwa jamhuri ?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Ni mbinu ambayo alifanikiwa sana kuitumia Mwendazake na kupata wafuasi wengi vipofu.
Wafuasi wa mwendazake wengi no vihiyo huwa hawana reasoning yeyote

Kuna mzee mmoja alikuwa kafa kaoza kwa mwendazake nilimwambia huyo huyo jamaa yako sio kabisa achana nae

Unajua nini!?

Mzee alikuja bomolewa nyumba pale kimara akaambulia madirisha tu ya chuma Hana hamu na mwenda zake Hadi leo[emoji1]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Shahidi: upekee wa siku hiyo, tangu nizaliwe nilikuwa sijawahi kuona Magaidi, ikabidi niwaangalie vizuri..

Ushahidi wa kufundishwa huu aisee
 
Shahidi: upekee wa siku hiyo, tangu nizaliwe nilikuwa sijawahi kuona Magaidi, ikabidi niwaangalie vizuri..

Ushahidi wa kufundishwa huu aisee
Hivi hapa kwa kuyasema hayo, hajamhukumu mtuhumiwa kuwa ni gaidi? Nilitegemea aseme sijawahi ona mtuhumiwa wa ugaidi lakini yeye kasema hajawahi on gaidi..!!
 
Upo kwako unakula bata mwezako analiwa na papasi hatahujampelekea maji eti unamuhurumia

USSR
Huna tofauti na samaki aina ya CHANGUDOA, ukimshika kichwani analegea mkiani.

Wewe umeona wapi nimetoa hisia za huruma.

Acha kutumika utaishia pabaya.
 
Huna tofauti na samaki aina ya CHANGUDOA, ukimshika kichwani analegea mkiani.

Wewe umeona wapi nimetoa hisia za huruma.

Acha kutumika utaishia pabaya.
Kesi kuu ugaidi na utakatishaji pesa kesi ndogo kuteswa na madawa ya kulevya

USSR
 
Back
Top Bottom