Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Hapo bado ugaidi wenyewe na uhujumu uchumi , mbowe lazima afungwe tu hakuna namna

USSR
Iko namna Ila kwa upeowako mfupi huwezi kuuona.
Tulia waliokuzidi akili waongee.
 
Nchi hii bwana kazi kutoza tozo tu badala ya kutumia fursa kama hizi kuuza haki za matangazo (TV rights) ya mahakamani watu wangetengeneza pesa ndefu kusaidia kujenga au kuboresha mahakama.
 
Huyu shahidi wa sasa angalau yupo vizuri kidogo...
 
Mallya: Akitokea mtu akisema mule hapakuwa salama wangeweza kupora silaha atakuwa anasema kweli?



Shahidi: Atakuwa anasema tu mambo yake

Hahah naona hapa wamepigana makonde wenyewe kwa wenyewe bila kujuwa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…