Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Mwamba mwenyewe
%E2%9C%8C%EF%B8%8F%E2%9C%8C%EF%B8%8F.jpg
 
Nchi hii bwana kazi kutoza tozo tu badala ya kutumia fursa kama hizi kuuza haki za matangazo (TV rights) ya mahakamani watu wangetengeneza pesa ndefu kusaidia kujenga au kuboresha mahakama.
 
Huyu shahidi wa sasa angalau yupo vizuri kidogo...
 
Mallya: Akitokea mtu akisema mule hapakuwa salama wangeweza kupora silaha atakuwa anasema kweli?

Shahidi: Atakuwa anasema tu mambo yake

Hahah naona hapa wamepigana makonde wenyewe kwa wenyewe bila kujuwa 😂
 
Back
Top Bottom