Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile nguvu yote waliyotumia ili haya maelezo yasisomwe ilikuwa ni kuiepuka hii aibu kubwa kwa Mkiti, kesi ngumu sana hii kwa MwambaMbowe ni muhuni sana.
Hujui usemaloIle nguvu yote waliyotumia ili haya maelezo yasisomwe ilikuwa ni kuiepuka hii aibu kubwa kwa Mkiti, kesi ngumu sana hii kwa Mwamba
Wewe unajua?hujui usemalo
Mama alipogaidiwa ulipata ushahidi gani?Nashangaa mnahamu ya kujuwa Mbowe na wenzake wanakula mvua ngapi yaani gaidi hana njia ya kuchomka
Mbowe ni muhuni sana.
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.. MaCCM aliewaroga kachanganyikiwa na alipopona akasahau kama aliwaroga.Ile nguvu yote waliyotumia ili haya maelezo yasisomwe ilikuwa ni kuiepuka hii aibu kubwa kwa Mkiti, kesi ngumu sana hii kwa Mwamba
Babayako ndio muhuni alipokuhunia wewe ulipokuwa chumbani mwako..Mbowe ni muhuni sana.
Tunafuatilia maelezo ya Komandoo, acha genyeMnajitekenya na kucheka wenyewe.. MaCCM aliewaroga kachanganyikiwa na alipopona akasahau kama aliwaroga.
Mmekwama sana MaCCM.
CCM si chama cha siasa tena ndugu.CCM badala ya kufanya siasa za ushindani tumegeukia siasa za UBABE....
Nchi inahitaji uponyaji
Sasa hivi PGO zipo kichwani zote ha ha ha welcom back Mr.Kingai in the house againnnnn[emoji3]
Mwamba atapigwa mvua hadi makamanda uchwara wapoteane.Ile nguvu yote waliyotumia ili haya maelezo yasisomwe ilikuwa ni kuiepuka hii aibu kubwa kwa Mkiti, kesi ngumu sana hii kwa Mwamba
ninachoshangaa kuwa mtu ambaye aliaachishwa kazi kwa kurukwa na akili sasa anakuwaje tena shahidi.an insane person.Kingai in the house againnnnn[emoji3]
Akili yako haina akili.Tunafuatilia maelezo ya Komandoo, acha genye
Na inaonesha jinsi gani Mbowe siyo makini pia, utaajiri vipi insane person awe mlinzi wako wa karibu?? So mkiti wa chama kikuu cha upinzani alikuwa anaokota okota tu vibaka mtaani ili wamlinde bila kuwafanyia vetting yeyote? Mtu mzembe kama huyu ndiyo anataka apewe hii nchi aongoze? Stupid kabisa...ninachoshangaa kuwa mtu ambaye aliaachishwa kazi kwa kurukwa na akili sasa anakuwaje tena shahidi.an insane person.
Labda kama wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, na poliCCM. Haya maelezo sio mapya hata CUF wakati wanaisumbua CCM , walipewa kesi ya UGAIDI na poliCCM wakaonyesha mapanga yamefungwa bendera za CUF. hakuna jipya hapo kwa sisi wazamani."Mbowe alituelekeza tufuatilie nyendo zake na tumdhuru kwa spray ya sumu. Ling'wenya alifuatilia mtu wa kupata sumu. Tarehe 27 tulirudi Dar na magari mawili pamoja na Mbowe na mlinzi wake"- Hii inaitwa machoni kama watu, ila moyoni hawana utu......
Ulikuwepo wakati ananing'inizwa?Akili yako haina akili.
Komandoo hajatoa maelezo, alining’inizwa kama popo na binywa makende ili asaini maelezo kwa matakwa ya Magufuli kuifuta Chadema.
Maelezo haya yalikuopo toka uhai wa Magufuli. Yabaendelezwa tu na Legacy aliotuachia.