Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Kingai, kama kweli Mungu yupo na wote tunaamini hivyo aisee hutoboi ndugu yangu, kikombe hiki kinakudondokea , watu hawa unawatesa bure, familia zinalia hazina chakula kisa tu kumkomoa Mbowe aachane na siasa.

Yetu macho ndugu.
 
"Mbowe alituelekeza tufuatilie nyendo zake na tumdhuru kwa spray ya sumu. Ling'wenya alifuatilia mtu wa kupata sumu. Tarehe 27 tulirudi Dar na magari mawili pamoja na Mbowe na mlinzi wake"- Hii inaitwa machoni kama watu, ila moyoni hawana utu......
 
Tunafuatilia maelezo ya Komandoo, acha genye
Akili yako haina akili.
Komandoo hajatoa maelezo, alining’inizwa kama popo na binywa makende ili asaini maelezo kwa matakwa ya Magufuli kuifuta Chadema.
Maelezo haya yalikuopo toka uhai wa Magufuli. Yabaendelezwa tu na Legacy aliotuachia.
 
ninachoshangaa kuwa mtu ambaye aliaachishwa kazi kwa kurukwa na akili sasa anakuwaje tena shahidi.an insane person.
Na inaonesha jinsi gani Mbowe siyo makini pia, utaajiri vipi insane person awe mlinzi wako wa karibu?? So mkiti wa chama kikuu cha upinzani alikuwa anaokota okota tu vibaka mtaani ili wamlinde bila kuwafanyia vetting yeyote? Mtu mzembe kama huyu ndiyo anataka apewe hii nchi aongoze? Stupid kabisa...
 
"Mbowe alituelekeza tufuatilie nyendo zake na tumdhuru kwa spray ya sumu. Ling'wenya alifuatilia mtu wa kupata sumu. Tarehe 27 tulirudi Dar na magari mawili pamoja na Mbowe na mlinzi wake"- Hii inaitwa machoni kama watu, ila moyoni hawana utu......
Labda kama wewe ni mgeni na siasa za Tanzania, na poliCCM. Haya maelezo sio mapya hata CUF wakati wanaisumbua CCM , walipewa kesi ya UGAIDI na poliCCM wakaonyesha mapanga yamefungwa bendera za CUF. hakuna jipya hapo kwa sisi wazamani.
CCM wamashakwama na mbinu zile zile .
 
Akili yako haina akili.
Komandoo hajatoa maelezo, alining’inizwa kama popo na binywa makende ili asaini maelezo kwa matakwa ya Magufuli kuifuta Chadema.
Maelezo haya yalikuopo toka uhai wa Magufuli. Yabaendelezwa tu na Legacy aliotuachia.
Ulikuwepo wakati ananing'inizwa?
 
Back
Top Bottom