Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Nahata lisu alijipiga risasi mwenyewe na wale watu walio uliwa zanzibar kipindi cha uchaguzi walijiuwa wenyewe msenge wee usiye jielewaWalianza kuchoma ofisi zao na kusingizia CCM! Wakapiga mabomu mkutano wao wenyewe na kusingizia polisi.
Wakaona mchezo umenoga wakaamua kulipua “nchi”, uroho wa madaraka kwa gharama yeyote.
Sasa ni wazi hata aliyemuua Akwilina ni nani.
Good for you CCM.Mwamba atapigwa mvua hadi makamanda uchwara wapoteane.
Na wale waliokuwa wanamwagiwa tindikali zanzibar walijimwagia wenyewe na kibiti walikuwa wanajipiga risasi wenyeweNahata lisu alijipiga risasi mwenyewe na wale watu walio uliwa zanzibar kipindi cha uchaguzi walijiuwa wenyewe msenge wee usiye jielewa
Mkuu una jingalao alikuwa kama wewe,humu tulikuwa tuna mwambia Mungu hadhihakiwi usinitoe ufahamu kisa hela na ahadi za uongozi.Hivi vitu vinapita alikuwa anaandika kila Uzi humu.Sasa uliza kilicho mpata.Laana ni kitu Kibaya sana.Fanya yote lakini ogopa maombi ya watu kwa MUNGU dhidi yako ,Kuna watu Sala zinasikilizwa sana na MUNGU.da mzee kakata tamaa maskini mbowe anafungwa hivihivi walinzi wameelezayotee
Hakuna cha ccm wala nini. Huyo jamaa yenu atakula mvua hadi utabloo.Good for you CCM.
Hakuna tatizo hata akifungwa,familia yako na ukoo wako hawata ondolewa Kinga ya kifo ,Wala Kinga ya magonjwa ya kansa ,Wala umasikini hautaondoka kwenu,Wala watoto matahira kwenye familia yako hawata ondoka.Kama Mungu aishivyo kila mtu ana kitabu chake chenye kurasa na habari.Magufuli alitamani wote wanaopinga wafe lakini alikufa yeye kwanza.
Nyie ndugu ... Hamuoni kwamba maneno yenu yanajenga chuki?Hakuna cha ccm wala nini. Huyo jamaa yenu atakula mvua hadi utabloo.
shetani wa kike mkubwa wewe, wauaji nyote na ushungi, mlaaniwe mfe mmfuate Jiwe😳😳😳😳Mungu awape wepesi mtuletee taarifa zenye ukamilifu.
Barikiwa!
Inasikitisha Sana yanayosemekana maelezo ya mtuhumiwa no.moja. Uongo mwepesi usio na mashiko, Watanzania sio wajinga kiasi hicho, oneni aibu futeni haraka huu ujinga, mnaibisha taifa na kuharibu umoja wa taifa letu. Ushahidi wa ugaidi so wa kitoto namna hiyo.
ushungi, heeeeShadraki, Meshaki na abednego waliokolewa kwenye tanuri la moto, kwenye hili nalo MUNGU atalisimamia
shetani wa kike mkubwa wewe, wauaji nyote na ushungi, mlaaniwe mfe mmfuate Jiwe😳😳😳😳
what goes around comes around, huenda wanalipa mlichowafanyiaNyie ndugu ... Hamuoni kwamba maneno yenu yanajenga chuki?
Kufurahia tena "hadharani" mateso ya binadamu mwenzio ni tabia za Kinyani. Muwe "watu".
Ahaa kumbe Makengeza a.k.a mbowe! ndo binadamu sana sio? Apambane na hali yake!Nyie ndugu ... Hamuoni kwamba maneno yenu yanajenga chuki?
Kufurahia tena "hadharani" mateso ya binadamu mwenzio ni tabia za Kinyani. Muwe "watu".