Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Walianza kuchoma ofisi zao na kusingizia CCM! Wakapiga mabomu mkutano wao wenyewe na kusingizia polisi.

Wakaona mchezo umenoga wakaamua kulipua “nchi”, uroho wa madaraka kwa gharama yeyote.

Sasa ni wazi hata aliyemuua Akwilina ni nani.
Nahata lisu alijipiga risasi mwenyewe na wale watu walio uliwa zanzibar kipindi cha uchaguzi walijiuwa wenyewe msenge wee usiye jielewa
 
Mwamba atapigwa mvua hadi makamanda uchwara wapoteane.
Good for you CCM.

Hakuna tatizo hata akifungwa,familia yako na ukoo wako hawata ondolewa Kinga ya kifo ,Wala Kinga ya magonjwa ya kansa ,Wala umasikini hautaondoka kwenu,Wala watoto matahira kwenye familia yako hawata ondoka.

Kama Mungu aishivyo kila mtu ana kitabu chake chenye kurasa na habari.Magufuli alitamani wote wanaopinga wafe lakini alikufa yeye kwanza.
 
Inasikitisha Sana yanayosemekana maelezo ya mtuhumiwa no.moja. Uongo mwepesi usio na mashiko, Watanzania sio wajinga kiasi hicho, oneni aibu futeni haraka huu ujinga, mnaibisha taifa na kuharibu umoja wa taifa letu. Ushahidi wa ugaidi so wa kitoto namna hiyo.
 
da mzee kakata tamaa maskini mbowe anafungwa hivihivi walinzi wameelezayotee
Mkuu una jingalao alikuwa kama wewe,humu tulikuwa tuna mwambia Mungu hadhihakiwi usinitoe ufahamu kisa hela na ahadi za uongozi.Hivi vitu vinapita alikuwa anaandika kila Uzi humu.Sasa uliza kilicho mpata.Laana ni kitu Kibaya sana.Fanya yote lakini ogopa maombi ya watu kwa MUNGU dhidi yako ,Kuna watu Sala zinasikilizwa sana na MUNGU.

Usishangae haya,
Familia yako ikaandamwa na magonjwa ya kansa ya mateso.Waulize wenzako hawana hamu
 
Good for you CCM.

Hakuna tatizo hata akifungwa,familia yako na ukoo wako hawata ondolewa Kinga ya kifo ,Wala Kinga ya magonjwa ya kansa ,Wala umasikini hautaondoka kwenu,Wala watoto matahira kwenye familia yako hawata ondoka.Kama Mungu aishivyo kila mtu ana kitabu chake chenye kurasa na habari.Magufuli alitamani wote wanaopinga wafe lakini alikufa yeye kwanza.
Hakuna cha ccm wala nini. Huyo jamaa yenu atakula mvua hadi utabloo.
 
either tuamue kuamini ushahidi ni wauongo au ushahidi niwaukweli.....Je tunajuaje ushahidi ni wauongo au waukweli?..... huyo Urio aliyetajwa naye yupo kwenye kutoa ushahidi?,

Figure za hela zinazotajwa wahusika kupewa mbona hazilingani na kazi tunayoambiwa walipewa?..

Sijaona mahala popote wahusika wanapewa kazi kwa makubaliano fulani, Je wahusika waliahidiwa nini baada ya hiyo kazi ya hatari?...hivi mtu anaweza tu kufanya kazi ya hatari kama hiyo bure?...maswali ni mengi ngoja tuendelee kujiuliza..
 
Inasikitisha Sana yanayosemekana maelezo ya mtuhumiwa no.moja. Uongo mwepesi usio na mashiko, Watanzania sio wajinga kiasi hicho, oneni aibu futeni haraka huu ujinga, mnaibisha taifa na kuharibu umoja wa taifa letu. Ushahidi wa ugaidi so wa kitoto namna hiyo.

CCM hii ya mazuzu kupitiliza chama ni muhimu kuliko Tanzania. Swali linalonipa shida nyie ccm kukiwa hakuna Tanzania mtatawala nn na huo ujinga wenu?
 
Kwa nini Luteni Denis Urio atafute watuhumiw muda huo huo awape nauli
Muda huo huo tunasikia ni shahidi wa serikali muda huo huo tunaskia yupo Selo ya jeshi Mbweni ?
Kwa nini Denis Urio asiwe mtuhumiwa
Ikiwa Denis Urio Urio ndo msiri wa serikali je watu wanaotonya siri watasemwa hadharani
Ikiwa dili ni kulinda VIP Protection ilikuwaje Denis Urio atafute watu ambao wanaenda kudhuru tena viongoz.
Je muda ambao Mbowe ameachiwa uraiani angekua na nia ya kuwadhuru viongozi si angetafuta wengine
Kwa nini Mbowe awe mshtakiwa no 4 badala ya no 1?
 
Nyie ndugu ... Hamuoni kwamba maneno yenu yanajenga chuki?

Kufurahia tena "hadharani" mateso ya binadamu mwenzio ni tabia za Kinyani. Muwe "watu".
what goes around comes around, huenda wanalipa mlichowafanyia

Jichunguze kabla hujalalama.
 
Mwisho wa siku watamwachia tu... Mahakama zinafanya kazi kwa maagizo toka juu
 
Nyie ndugu ... Hamuoni kwamba maneno yenu yanajenga chuki?

Kufurahia tena "hadharani" mateso ya binadamu mwenzio ni tabia za Kinyani. Muwe "watu".
Ahaa kumbe Makengeza a.k.a mbowe! ndo binadamu sana sio? Apambane na hali yake!
 
Back
Top Bottom