Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021


Urio kapewa dili ya udalali, dili iliyopo mezani ni VIP protection akawapa mchongo jamaa zake.
Huko walikokwenda kwenye kazi wamekutana na dili chafu...

Either Urio anajua suala zima na yupo kwenye mchongo, au hakui aliishia kuwaunga kazi...swali -walioungwa kazi kwanini hawakurudi kwa Urio kuomba ushauri aina ya kazi walioenda kukutana nayo? au walikubaliana nayo tu na Urio wakamficha?..

Kama haya yanasemwa yote ni kweli basi ndani ya vyombo vya usalama kuna hatari, labda ndio maana Urio kabaki mahakama ya kijeshi na ya kijeshi yanaendelea kijeshi huko raia hatupaswi kuyajuaa....

Narudia tena, kama ni kweli basi huko ndani kulikuwa kuna moto mkali saaana..
 
Ni ngumu Sana,ushahidi Kama ule wa maandamano yasiyokoma kila mtu anajua si walitangaza! Ila walipokumbuka Mwendazake alishasema hajaribiwi wakapotea wote hata walioitisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie watu ni wajinga sana!

Magufuli aliposema tufunge na kuomba kwa ajili ya corona makaanza kutikisa mikia huku mkijishaua eti Mungu hasikikilizi wajinga ana kazi nyingi za kufanya.

Ila mkibanwa kwenye kona mnaanza kunena kwa lugha eti Mungu atawasikia!

Bwashe Mungu siyo amsterdam wala Lisu.
 
AISEE MBOWE GAIDI KWELI NILIKUWAGA SIAMINI HUYU NI GAIDI WENZAKE WAMEANIKA YOTEE ATAKWEPA WAPI MBOWE ANANYONGWATAFUTENI MWENYEKITI MWINGINE TU HAINA JINSI
Naona matahaira mnamuombea mbowe mabaya nawambia mtahangaika sana hamtaweza mbowe anawakosesha sana usingizi
 
Mkuu nini kilimpata jingalao
 
Naona matahaira mnamuombea mbowe mabaya nawambia mtahangaika sana hamtaweza mbowe anawakosesha sana usingizi
naona wenye akili mnazidi kujinyea mnaona ushahidi unamfunga malaika wenu asiyetenda zambi uwiiiiiii
 
Pale ahmaku wanapofarijiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…