Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vile Sabaya kufungwa ni maagizo toka juu eti?Mwisho wa siku watamwachia tu... Mahakama zinafanya kazi kwa maagizo toka juu
How? Maana 2020 Mbowe hakuwa na kesi ni wal vijana tu!mkuu kesi ilikuwepo tangu 2020, yeye ameacha mahakama ifanye kazi...
Kwa nini Luteni Denis Urio atafute watuhumiw muda huo huo awape nauli
Muda huo huo tunasikia ni shahidi wa serikali muda huo huo tunaskia yupo Selo ya jeshi Mbweni ?
Kwa nini Denis Urio asiwe mtuhumiwa
Ikiwa Denis Urio Urio ndo msiri wa serikali je watu wanaotonya siri watasemwa hadharani
Ikiwa dili ni kulinda VIP Protection ilikuwaje Denis Urio atafute watu ambao wanaenda kudhuru tena viongoz.
Je muda ambao Mbowe ameachiwa uraiani angekua na nia ya kuwadhuru viongozi si angetafuta wengine
Kwa nini Mbowe awe mshtakiwa no 4 badala ya no 1?
kwa kosa gani?Mbowe anyongwe mpaka kufa
Kwa hiyo nyie makamanda uchwara huwa hamjioni sio?Nyie ndugu ... Hamuoni kwamba maneno yenu yanajenga chuki?
Kufurahia tena "hadharani" mateso ya binadamu mwenzio ni tabia za Kinyani. Muwe "watu".
How? maana 2020 Mbowe hakuwa na kesi ni wal vijana tu!
ok nimekupataukisikiliza maelezo kwenye hiyo kesi inasemwa walikuwa wakiendelea kukusanya ushahidi dhidi yake na walipokamilisha ndipi walipomkamata..
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu una jingalao alikuwa kama wewe,humu tulikuwa tuna mwambia Mungu hadhihakiwi usinitoe ufahamu kisa hela na ahadi za uongozi.Hivi vitu vinapita alikuwa anaandika kila Uzi humu.Sasa uliza kilicho mpata.Laana ni kitu Kibaya sana.Fanya yote lakini ogopa maombi ya watu kwa MUNGU dhidi yako ,Kuna watu Sala zinasikilizwa sana na MUNGU.
Usishangae haya,
Familia yako ikaandamwa na magonjwa ya kansa ya mateso.Waulize wenzako hawana hamu
Naona matahaira mnamuombea mbowe mabaya nawambia mtahangaika sana hamtaweza mbowe anawakosesha sana usingiziAISEE MBOWE GAIDI KWELI NILIKUWAGA SIAMINI HUYU NI GAIDI WENZAKE WAMEANIKA YOTEE ATAKWEPA WAPI MBOWE ANANYONGWATAFUTENI MWENYEKITI MWINGINE TU HAINA JINSI
Mwamba atapigwa mvua hadi makamanda uchwara wapoteane.
Mkuu nini kilimpata jingalaoMkuu una jingalao alikuwa kama wewe,humu tulikuwa tuna mwambia Mungu hadhihakiwi usinitoe ufahamu kisa hela na ahadi za uongozi.Hivi vitu vinapita alikuwa anaandika kila Uzi humu.Sasa uliza kilicho mpata.Laana ni kitu Kibaya sana.Fanya yote lakini ogopa maombi ya watu kwa MUNGU dhidi yako ,Kuna watu Sala zinasikilizwa sana na MUNGU.
Usishangae haya,
Familia yako ikaandamwa na magonjwa ya kansa ya mateso.Waulize wenzako hawana hamu
naona wenye akili mnazidi kujinyea mnaona ushahidi unamfunga malaika wenu asiyetenda zambi uwiiiiiiiNaona matahaira mnamuombea mbowe mabaya nawambia mtahangaika sana hamtaweza mbowe anawakosesha sana usingizi
Kabisa mkuu yaani jamaa alieleza straight hakuna chenga onampaka mashahidi wa ukamataji upekuzi mwenyekiti wa mtaa walishuhudia unakwepaje hapo sasa uje useme uliteswa ili useme yaani kibatala kwaakili yake ndogo aliwalisha maneno wadanganye mahakama wakafeli sasaushahidi mwaaaaaaaaaaaaaa gaid jela