Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Yaliyojiri Kesi ya Mbowe: RPC Kingai aeleza Mbowe alivyopanga kumdhuru Ole Sabaya. Kesi yaahirishwa hadi 27 Oktoba 2021

Kwa nini Luteni Denis Urio atafute watuhumiw muda huo huo awape nauli
Muda huo huo tunasikia ni shahidi wa serikali muda huo huo tunaskia yupo Selo ya jeshi Mbweni ?
Kwa nini Denis Urio asiwe mtuhumiwa
Ikiwa Denis Urio Urio ndo msiri wa serikali je watu wanaotonya siri watasemwa hadharani
Ikiwa dili ni kulinda VIP Protection ilikuwaje Denis Urio atafute watu ambao wanaenda kudhuru tena viongoz.
Je muda ambao Mbowe ameachiwa uraiani angekua na nia ya kuwadhuru viongozi si angetafuta wengine
Kwa nini Mbowe awe mshtakiwa no 4 badala ya no 1?

Urio kapewa dili ya udalali, dili iliyopo mezani ni VIP protection akawapa mchongo jamaa zake.
Huko walikokwenda kwenye kazi wamekutana na dili chafu...

Either Urio anajua suala zima na yupo kwenye mchongo, au hakui aliishia kuwaunga kazi...swali -walioungwa kazi kwanini hawakurudi kwa Urio kuomba ushauri aina ya kazi walioenda kukutana nayo? au walikubaliana nayo tu na Urio wakamficha?..

Kama haya yanasemwa yote ni kweli basi ndani ya vyombo vya usalama kuna hatari, labda ndio maana Urio kabaki mahakama ya kijeshi na ya kijeshi yanaendelea kijeshi huko raia hatupaswi kuyajuaa....

Narudia tena, kama ni kweli basi huko ndani kulikuwa kuna moto mkali saaana..
 
Ni ngumu Sana,ushahidi Kama ule wa maandamano yasiyokoma kila mtu anajua si walitangaza! Ila walipokumbuka Mwendazake alishasema hajaribiwi wakapotea wote hata walioitisha.
 
Mkuu una jingalao alikuwa kama wewe,humu tulikuwa tuna mwambia Mungu hadhihakiwi usinitoe ufahamu kisa hela na ahadi za uongozi.Hivi vitu vinapita alikuwa anaandika kila Uzi humu.Sasa uliza kilicho mpata.Laana ni kitu Kibaya sana.Fanya yote lakini ogopa maombi ya watu kwa MUNGU dhidi yako ,Kuna watu Sala zinasikilizwa sana na MUNGU.

Usishangae haya,
Familia yako ikaandamwa na magonjwa ya kansa ya mateso.Waulize wenzako hawana hamu
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie watu ni wajinga sana!

Magufuli aliposema tufunge na kuomba kwa ajili ya corona makaanza kutikisa mikia huku mkijishaua eti Mungu hasikikilizi wajinga ana kazi nyingi za kufanya.

Ila mkibanwa kwenye kona mnaanza kunena kwa lugha eti Mungu atawasikia!

Bwashe Mungu siyo amsterdam wala Lisu.
 
AISEE MBOWE GAIDI KWELI NILIKUWAGA SIAMINI HUYU NI GAIDI WENZAKE WAMEANIKA YOTEE ATAKWEPA WAPI MBOWE ANANYONGWATAFUTENI MWENYEKITI MWINGINE TU HAINA JINSI
Naona matahaira mnamuombea mbowe mabaya nawambia mtahangaika sana hamtaweza mbowe anawakosesha sana usingizi
 
Mkuu una jingalao alikuwa kama wewe,humu tulikuwa tuna mwambia Mungu hadhihakiwi usinitoe ufahamu kisa hela na ahadi za uongozi.Hivi vitu vinapita alikuwa anaandika kila Uzi humu.Sasa uliza kilicho mpata.Laana ni kitu Kibaya sana.Fanya yote lakini ogopa maombi ya watu kwa MUNGU dhidi yako ,Kuna watu Sala zinasikilizwa sana na MUNGU.

Usishangae haya,
Familia yako ikaandamwa na magonjwa ya kansa ya mateso.Waulize wenzako hawana hamu
Mkuu nini kilimpata jingalao
 
Naona matahaira mnamuombea mbowe mabaya nawambia mtahangaika sana hamtaweza mbowe anawakosesha sana usingizi
naona wenye akili mnazidi kujinyea mnaona ushahidi unamfunga malaika wenu asiyetenda zambi uwiiiiiii
 
Pale ahmaku wanapofarijiana
Kabisa mkuu yaani jamaa alieleza straight hakuna chenga onampaka mashahidi wa ukamataji upekuzi mwenyekiti wa mtaa walishuhudia unakwepaje hapo sasa uje useme uliteswa ili useme yaani kibatala kwaakili yake ndogo aliwalisha maneno wadanganye mahakama wakafeli sasaushahidi mwaaaaaaaaaaaaaa gaid jela
 
Back
Top Bottom