Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Hapa kidogo Ccm wamecheza kama peleHalima Mdee anapata mtu wa caliber yake kwenye kampeni mwaka huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kidogo Ccm wamecheza kama peleHalima Mdee anapata mtu wa caliber yake kwenye kampeni mwaka huu.
Unamaanisha amepita kwenye nini? Kapita kwako au unamaanisha ameteuliwa kuwa mgombea? Jimbo la wapi? La Kigamboni ametangazwa NdugulileMakonda kapitaaaaaa
Hata Kimei na FA walishindwaHivi Gwajima si aishindwa kura za maoni?
Hekima na busara!Hivi Gwajima si aishindwa kura za maoni?
Akapambane na kijana mwenzie Yosepher KombaMuheza
Amepigwa chiniKatoboa
Bashiru si alishatangaza waziwazi zaidi ya mara 5 kuwa hilo halipo? Magufuli nae akatangaza zaidi ya mara 10 kuwa hilo halipo? Gwajima yeye ni nani hadi aendelee ku push hili wazo?Gwajima atakuja na hoja yake ya Magufuli kuongezewa muda .Ila binafsi namkubali Gwajima sema tu ataniudhi sana akija na hoja yake ya Rais kuongezewa muda.
Kumbe unapenda kusisimuliwaMbona chadema wao haikusisimua kabisa
Mimi ni mwana Kawe na miaka yote. Najua kila joto lililopo huku. This time Halima hatoboi! It's sad lakini jiandae kisaikolojia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hivi aliposema inategemea ameamkaje hukuelewa?!
Hapa kidogo Ccm wamecheza kama pele
Huko Zanzibar watoto wote wa Mwinyi wamepewa nafasiMwinyi everywhere.
Mwana Fa kumbe kapita alijitahidi Sana na Yuko smart best of luckMwana FA
Shigongo
Siyo kwa Gwajima, labda angerudi AngelaMimi ni mwana Kawe na miaka yote. Najua kila joto lililopo huku. This time Halima hatoboi! It's sad lakini jiandae kisaikolojia
Nani?Duh Fa ndani
Sasa ajikite kusali walau wapate majimbo kule kwenye wagombea dhaifu wa CCM ili apate nafasi viti maalum.Mimi ni mwana Kawe na miaka yote. Najua kila joto lililopo huku. This time Halima hatoboi! It's sad lakini jiandae kisaikolojia