Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Halima Mdee fyatu kaletewa fyatu mwenzie Gwajima, utakuwa mtanange wakuvutia.
 
Hongera yake
Namtakia mafanikio mema, tujiangalie tunayopost mitandaoni ipo siku tutakoea fursa nzuri maishani
 
Kawe CCM bora wangemuweka Angela ila huyu Gwajima naona hawaijui Kawe na udini
 
Gwajima atakuja na hoja yake ya Magufuli kuongezewa muda .Ila binafsi namkubali Gwajima sema tu ataniudhi sana akija na hoja yake ya Rais kuongezewa muda.
Bashiru si alishatangaza waziwazi zaidi ya mara 5 kuwa hilo halipo? Magufuli nae akatangaza zaidi ya mara 10 kuwa hilo halipo? Gwajima yeye ni nani hadi aendelee ku push hili wazo?
 
Back
Top Bottom