Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Mimi ni mwana Kawe na miaka yote. Najua kila joto lililopo huku. This time Halima hatoboi! It's sad lakini jiandae kisaikolojia
Haya maoni yako huwa yanachekesha kweli, siku ile ulisema Lema hatoboi kule Arusha Mjini kwenye maoni, ukapiga kelele weee mwisho wa siku kimyaaa, leo unasema huyo mchungaji anaenda kumuangusha Mdee, labda kama kura zitapigiwa madhabahuni, Kawe ni ya Mdee, Gwajima atapigwa na atakosa pa kuficha sura yake.

Mtu aliekataliwa na CCM wenzie ataiweza vipi Chadema?!
 
Nimefurahi MwanaFa kupitishwa lakini nilichogundua kwenye zile kura za maoni. Sio muongeaji mzuri na apunguze kuongelea vyeti vyake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…